Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
11 Reactions
22 Replies
756 Views
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri. Sina la kusema.
18 Reactions
47 Replies
743 Views
  • Redirect
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MZEE JOSEPH BUTIKU WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano...
1 Reactions
– Replies
– Views
It is worthy pointing out at this stage that deliberation of this ground of complaint will touch an area which has concurrent finding of facts of the two lower courts We are mindful of the fact...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani? Pia soma, Mradi wa BBT kwa...
16 Reactions
167 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Handeni, kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, John Heche, akae pembeni ili kupisha uchunguzi kufuatia uwepo wa tuhuma za...
1 Reactions
7 Replies
151 Views
Why CHADEMA members, especially national leaders, are boycotting to associate themselves with their national vice chairman chairman John Heche in his mission to clear his name towards corruption...
2 Reactions
27 Replies
448 Views
Mjadala mkali unaoendelea hivi sasa nchini Tanzania unamhusu kiongozi wa dini, Sheikh Said Mwaipopo, ambaye ananyoshewa vidole na wananchi wengi, wanaharakati, na wachambuzi wakiamini anatumika...
15 Reactions
89 Replies
1K Views
  • Closed
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
3 Reactions
199 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya...
3 Reactions
25 Replies
750 Views
Habari za wakat huu, Siku zinatembea sana aisee leo hii mzee wangu nikikaa nae tukaanza mijadala ya siasa Nchini.. hasemi tu anataka katiba Mpya anasema yatokee mapinduzi kabisa tena ya...
12 Reactions
17 Replies
331 Views
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je...
18 Reactions
60 Replies
1K Views
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika"...
13 Reactions
11 Replies
305 Views
Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
4 Reactions
18 Replies
390 Views
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka...
32 Reactions
129 Replies
9K Views
Sikiliza ushahidi usio na mashaka kuwa that tume was a rubbish!
2 Reactions
5 Replies
220 Views
Kigoma, Julai 20, 2026 – Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema hataogopa kuwahoji na kuwashinikiza mawaziri kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani...
9 Reactions
20 Replies
446 Views
  • Featured
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kumekuwa na jitihada za kutumia njia za mkato kushughulikia changamoto za kisiasa na kiutawala nchini badala ya kuzingatia...
22 Reactions
73 Replies
2K Views
Back
Top Bottom