Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio...
Pima mzani utapata majibu nani mjanja👇
============
Rais wa Kenya, William Ruto, amewasili nchini Ufaransa ili kuungana na viongozi wengine wa dunia katika mkutano wa kilele wa G7 huko Évian...
https://www.youtube.com/watch?si=RXfE1UWd28J43tmx&v=p9DSYMQUl8Q&feature=youtu.be
NA MATUKIO DAIMA MEDIA, IRINGA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Kimata ametoa maoni yake kuhusu mwenendo...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa...
Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa.
Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa...
Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo...
Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi.
Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa...
Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na...
Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;
Alichokiandika katika akaunti yake ya X
Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu.
Kwa shukrani za dhati, heshima, na...
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu...
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
Afrika Kusini hivi sasa kunavurugu dhidi ya raia wa kigeni, nchi zinazothamini raia wake huwatahadharisha na kuwashauri nini cha kufanya huku ikifuatilia kwa karibu usalama wao. Jambo linalotia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano.
Madai...
Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo...
Na GULATONE MASIGA
Katika zama za teknolojia na mawasiliano ya kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kupitia majukwaa mbalimbali, wananchi wanapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.