Indeed.If you can't convince them ,confuse them.!
Sitashangaa sana kama "mbunifu" wa mbinu hizo mpya siyo Lucas Mshamba au mzoga 'Tlaatlaah'!Siamini ninachokisikia! Yaani CCM wametangaza kwa uongo kuna maiti uwanjani watu waende kuzitambua kama namna ya kupata watu wa kuhudhulia mkutano, kumbe hakuna maiti?
Sasa unapozoea kuendesha nchi kwa uongo na propaganda, unafikia kiwango kama hiki!
Na waliofanya hivi nani? Mikutano ya siasa si imezuiwa?
Msisema hatukuona maiti zozote. Hizo maiti mnajua ni akina nani hao? Ni CCM!Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
Luka wa kishamba na blaahblaah wao wanasemaje kwa hili, au ni nonsense na useless kwao.Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
Nimeuliza, Lukas wa kishamba na blaahblaah wao wanasemaje kwa hili au haya pia ni maigizo na nonsense na useless za mtandaoni.Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
CCM si chama cha siasa tena.Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.
Lakini si tulikubaliana hakuna kuhudhuria show za wasanii wanaotumbuiza kwenye kwenye mikutano ya CCM, kwanini baadhi ya wenzetu wanaenda kinyume na makubaliano ?Kuleta Wasanii wakubwa ni gharama sana, pesa hakuna.
Hatari sana,wajitafakali!Nimekutana na Clip hii kwenye Mitandao ya Kijamii kama ni kweli basi ni kubaya.