Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'. Soma...
6 Reactions
20 Replies
580 Views
RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani...
3 Reactions
63 Replies
487 Views
Tulikofikia Wazanzibar wataanza kutuchukulia poa sana hasa hasa kipindi cha Rais wa kutoka kule Kuna speech ya Nyerere inatembea sana mitandaoni yenye maudhui kwamba yeye (Nyerere) ndiye...
16 Reactions
49 Replies
663 Views
Serikali ya Tanzania inategemea kukusanya na kutumia takribani Trilioni 61.9 Kwa mwaka wa fedha ujao wa 2026/2027. Bajeti hii itaongezeka Kwa Trilioni 7 kutoka Trilioni 55 zaidi ya Bajeti ya...
7 Reactions
160 Replies
3K Views
KESI YA MFANYABIASHARA BASIL AENDELEA KUSOTA BUTIMBA Kesi inayomkabili Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam, Basil Kyando...
6 Reactions
17 Replies
621 Views
Hamjambo! Moja ya athari za kupotea kwa Humphrey Polepole ni kuwadogodesha hata wale waliowahi kufikiri ni wakubwa ndani ya CCM iwe kwa nafasi walizowahi kuzishika au wanazozishika hivi sasa. Ni...
10 Reactions
55 Replies
770 Views
  • Redirect
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio...
0 Reactions
Replies
Views
Pima mzani utapata majibu nani mjanja👇 ============ Rais wa Kenya, William Ruto, amewasili nchini Ufaransa ili kuungana na viongozi wengine wa dunia katika mkutano wa kilele wa G7 huko Évian...
2 Reactions
7 Replies
142 Views
https://www.youtube.com/watch?si=RXfE1UWd28J43tmx&v=p9DSYMQUl8Q&feature=youtu.be NA MATUKIO DAIMA MEDIA, IRINGA Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Kimata ametoa maoni yake kuhusu mwenendo...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa...
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Endelea kufanya kazi professionally na si kuteka watu. Basi mtoe Soka et al! Mtoe Mdude basi! Na wengine
3 Reactions
6 Replies
170 Views
1. Chalamila 2. Kihongosi 3...,.........
3 Reactions
25 Replies
492 Views
Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa. Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa...
6 Reactions
9 Replies
129 Views
Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi. Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na...
4 Reactions
11 Replies
245 Views
Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia; Alichokiandika katika akaunti yake ya X Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu. Kwa shukrani za dhati, heshima, na...
2 Reactions
15 Replies
319 Views
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu...
1 Reactions
3 Replies
190 Views
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
167 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
2 Reactions
7 Replies
170 Views
Back
Top Bottom