Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake.
Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo...
Kwasababu
Ni wazi kutakua na casualties za kisiasa, kijamii na kiuchumi zitakazotokea, kama matokeo ya vita vya maneno ambavyo ni dhahiri vinaelekea kua vita ya zaidi ya vitendo hasa baina ya timu...
Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo...
Kwa sasa kwenye Ulimwengu wa siasa za Tanzania CCM kwa nguvu zote wanapambana na Chadema.
Kitu kimoja wanachokosea ni kutaka kukidhohofisha na kukifuta kabisa chama hiki.
Hili ni kosa kubwa...
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa.
Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema...
Siasa zimekuwa sumu inayoua utaifa wetu kimya kimya kuja kushituka tutajikuta mateka kati yetu wenyewe
Leo vyuo vikuu vimekuwa wazalishaji wakubwa wa machawa badala ya wataalamu
Vijana wengi...
Hamjambo!
Moja ya biashara kubwa inayoendelea duniani ni Ukoloni mamboleo. Yaani kutawala nchi nyingine kiuchumi indirectly pasipo wananchi wengi kujua nchi zao zinatawaliwa. Hiyo inakuwa siri ya...
Makala maalum toka maktaba ya JF:
https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626
KURUDISHA UHURU WA...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana...
Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa...
Wawakilishi wa Azaki Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kuwa hali ya usalama, amani, haki na uwajibikaji nchini imekuwa tete tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025...
Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu.
Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao...
MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na...
Kila mara nawasikia watu wanasema lisu anastahili anachopitia kwa sababu alimtukana Rais, ila kiukweli nimesikiliza hotuba zake na kusoma machapisho yake mbalimbali, sijawahi kukutana na tusi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma Julai 20, 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.