Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KAMBI YA WAZIRI AWESO MWANZA, HUDUMA MAJI SAFI YAREJEA AWAONYA WATUMISHI Kambi iliyowekwa jijini Mwanza na Wazir wa maji Jumaa Aweso, imeleta manufaa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya huduma...
0 Reactions
3 Replies
125 Views
Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama...
5 Reactions
4 Replies
175 Views
Kwa nini taasisi na mashirika ya serikali hutangaza tenders na kuingia mikataba ya manunuzi wakati fedha za kulipia bidhaa au huduma husika hazipo au cash flow yake haina uhakika? Mwisho wa siku...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Kwasababu sidhani kama kuna mTanzania atachagua mihemko, chuki, ghasia, makasiriko, porojo, uzushi, malalamiko yasio koma au migawanyiko, na aache kuchagua wabunge wa vyama vya siasa vyenye agenda...
2 Reactions
85 Replies
810 Views
  • Redirect
Tanzania kumpokea rais Netumbo Nandi ndaitwah wa Namibia kwa ziara ya kitaifa
0 Reactions
Replies
Views
Hamjambo wote¡ Katika moja ya andiko moja lililopatikana katika falsafa za kitibeli lililosema: "Mfalme huamini kuwa anaitawala dunia. Lakini mara nyingi dunia hutawaliwa na watu ambao mfalme...
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma. Athari za uchawa ni bayana...
6 Reactions
25 Replies
441 Views
Badala ya kusimamiwa na majaji wa Tanzania bara kama ilivyo kwa warioba na majaji waliotangulia, hii ya sasa tuwape wa Zanzibari hakika watatuletea katiba iliyojaa haki kwa kila upande wa muungano...
2 Reactions
16 Replies
199 Views
  • Featured
Wakuu, Tumekuwa na mijadala na taarifa mbalimbali hapa JF na mitandao mingine kuhusu hatima ya ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU). Ili kuweka mambo sawa, Wizara ya Mambo ya Nje...
10 Reactions
64 Replies
3K Views
Imekuwa kawaida kwa watoto wa viongozi hasa marais kuchipukia na kuwa na nafasi karibu na wazazi wao au kuwa na utajiri wa kutisha ndani ya muda mfupi. Bellarmine Mugabe Bellarmine Chatunga...
9 Reactions
10 Replies
767 Views
Mama Samia, Mwigulu, mafisadi marafiki wa Mama, family za kikwete na Samia. Watanzania wengi tumeinamishwa nankupigwa kitu
2 Reactions
6 Replies
146 Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Sekretarieti ya Chama iliyoketi tarehe 10 Juni 2026 kwa mamlaka iliyoikasimisha na Kamati Kuu, imemteua Ndugu Shija...
9 Reactions
18 Replies
347 Views
Mswada upo bungeni kinachosubiriwa ni Trump kuweka sahihi. U.S. Senate Fioreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho alishauri iundwe tume huru ya kimataifa mkampuuza. U.S...
13 Reactions
53 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari...
3 Reactions
8 Replies
232 Views
👉Kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi wastaafu, hususan , kujiona kuwa wao pekee ndiyo wenye hekima na uwezo wa kuamua mustakabali wa taifa letu. Kila jambo linalofanywa na serikali hulikosoa...
3 Reactions
34 Replies
614 Views
Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda...
14 Reactions
13 Replies
385 Views
  • Redirect
Haya mawili hayana uhuusiano. MAUAJI ya 29.10.2025 hayana uhusiano na mchakato wa Katiba kuanza leo. Homera akili umeiweka wapi?
0 Reactions
Replies
Views
Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa. Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%…. Watu waliopigiwa kura milioni 31+…. Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela...
7 Reactions
5 Replies
246 Views
Back
Top Bottom