Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM.. Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CHADEMA anaiongelea yeye kama nani? Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi...
6 Reactions
15 Replies
253 Views
Masaa machache Baada ya Kauli yake Michango yapaa kama kishada Hii ndio hali halisi
5 Reactions
10 Replies
304 Views
Ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Wilaya ya Iramba - Julai 24, 2026 Kaulimbiu: Tanzania ni yetu sote, Tushikamane kwa pamoja kuleta maendeleo.
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa...
2 Reactions
37 Replies
460 Views
MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika baadhi ya showroom za magari zilizopo wilayani humo ili kubaini iwapo zinatumika kutakatisha...
2 Reactions
11 Replies
504 Views
Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chande👇
1 Reactions
7 Replies
166 Views
Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Jesca Kishoa, amewataka wananchi kuendelea kuwa wavumilivu kufuatia zuio la mikutano ya hadhara lililotolewa na Serikali, akisema shughuli hizo zitaendelea...
2 Reactions
3 Replies
166 Views
Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa. Tunapaswa kutumia nafasi yetu ya kimkakati, rasilimali tulizonazo na nguvu ya watu wetu kujiletea maendeleo yenye manufaa kwa...
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Shauri la Kikatiba namba 7300 la mwaka 2026 linalohusu madai ya kunyimwa faragha kwa Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, limeahirisha hadi Septamba 16, 2026 kwa ajili ya kutajwa...
2 Reactions
6 Replies
273 Views
Ushujaa wa hali ya juu👇 Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20. Chozaile...
9 Reactions
26 Replies
493 Views
https://www.youtube.com/watch?v=yVMgmMYnyrw Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimezindua operesheni “Tujenge Pamoja Tanzania” kwa lengo la kuwahamasisha Watanzania kuijenga nchi yao wenywe na...
5 Reactions
36 Replies
523 Views
  • Featured
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imeamuru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, aachiwe kwa dhamana kuanzia Julai 21, 2026, wakati upelelezi wa tuhuma za...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo...
36 Reactions
905 Replies
124K Views
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa...
6 Reactions
237 Replies
3K Views
PROFESA ASHANGAA SERIKALI YA TANZANIA KUWAKAMATA WAHADHIRI WA VYUO VIKUU! Baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata kwa tuhuma za kuchochea maandamano wahadhiri watatu na kuwanyima dhamana...
5 Reactions
15 Replies
444 Views
Hii ni kwa sababu alidhibiti ufisadi na akahakikisha kuwq pesa na makusanyo yana kwenda kwenye mfuko wa taifa yaani consolidated fund. Kama rejesho kwa sasa ni 45% wakati kiwango kilichotakiwa ni...
1 Reactions
5 Replies
150 Views
Mahakama imeanza soon nawaletea Updates za kesi. Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo iliomba mapitio(Judicial Review) Mahakama kuu ikipinga ukokotoaji INEC wa Viti Maalum, baada ya kufungua shauri Wabunge wa Viti Maalum wa CCM waliomba kuunganishwa...
1 Reactions
7 Replies
152 Views
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili. Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye...
36 Reactions
55 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya katiba na uhuru wa mihimili ya dola, akibainisha kuwa mahakama ni mhimili...
2 Reactions
17 Replies
305 Views
Back
Top Bottom