Katika watu ambao hawafai hata kutajwa na ni sumu ya uzalendo wetu ni lissu huyu mtu siasa zake zimelirudisha nyuma Taifa letu kimaendeleo,
Lissu ni mtu asiye na uchungu na Taifa letu, ni mtu...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kumpa Taarifa Mke wa Lissu kuwa kama anataka kumuona na kuonana na Lissu basi apande ndege na kuja Nchini ili aende gerezani kuonana naye na siyo kuongea ongea na...
Wakati anafikishwa mahakamani leo hii21.7.2026 MH Lissu ametuhimiza sisi watanzania tukuchangie cdm maana ndiyo chama pekee cha kuwakomboa watanzania.
Huu ni ujumbe muhimu sana kwa watanzania...
Yuko wapi!?!
Huyu Naibu Waziri wa Kazi,Ajira na Vijana wa Zamani kupitia CCM ya Marehemu Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa Zamani wa BAVICHA ya HECHE?!!
Au ndiyo Kimya Kingi tungojee Kishindo Cha...
Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030?
Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana.
Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya...
Tanzania’s🇹🇿 Immigration Services Department has released a list of African countries whose citizens can enter the country without applying for a visa.
The move is expected to boost tourism...
Hivi kweli Hawa polisi wa Tanzania wakutuhumu, kumuua mwenzao alafu wakishikikie siku 21 alafu wakupeleke mahakamani na upewe dhamana ukalale na Mume au mkeo?
Hii nchi ccm inatupeleka pabaya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa ujumla kudumisha amani na usalama ili kuchochea maendeleo
Akizungumza leo Julai 20...
|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA.
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye...
DAR ES SALAAM – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amefanya mazungumzo muhimu na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mheshimiwa Wang Yi, Ikulu jijini...
Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE...
Flashback:
Kumbuka hili ni Shauri la kikatiba Na. 7300 lililofunguliwa na mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MZEE JOSEPH BUTIKU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano...
It is worthy pointing out at this stage that deliberation of this ground of complaint will touch an area which has concurrent finding of facts of the two lower courts
We are mindful of the fact...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini...
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Pia soma, Mradi wa BBT kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Handeni, kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, John Heche, akae pembeni ili kupisha uchunguzi kufuatia uwepo wa tuhuma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.