Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo. Soma hapa...
0 Reactions
16 Replies
288 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea...
1 Reactions
31 Replies
362 Views
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru...
1 Reactions
14 Replies
289 Views
Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu? Uhuu UTAWALA wa...
3 Reactions
7 Replies
235 Views
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina...
11 Reactions
30 Replies
865 Views
https://www.youtube.com/live/v5iSJl0zCvA?si=7kTwypJn-40quhtu ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu matukio ya kukamatwa kwa wahadhiri wa vyuo vikuu mbalimbali nchini na inalaani hatua za...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli? Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo...
1 Reactions
15 Replies
225 Views
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna Katiba ya Jaji Warioba bali...
1 Reactions
12 Replies
192 Views
Huko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na...
6 Reactions
7 Replies
148 Views
Mtangazaji Oscar:Kuna swala la amani... swala la amani na usalama ambalo Mheshimiwa Rais pia amezungumza kwamba ili tuweze kupata maendeleo kama nchi, tunapaswa kuendelea kudumisha amani...
1 Reactions
5 Replies
151 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba vijana wameichoka CCM na kwamba chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma...
1 Reactions
16 Replies
340 Views
KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA. Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi...
5 Reactions
15 Replies
445 Views
10 May 2026 Jaji Warioba Aongea: Ripoti ya Chande, Maridhiano, Katiba, Aonya Kuzuia Mawazo: Watanzania Wanaogopa https://m.youtube.com/watch?v=sZv8yMHKNII Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Katika watu ambao hawafai hata kutajwa na ni sumu ya uzalendo wetu ni lissu huyu mtu siasa zake zimelirudisha nyuma Taifa letu kimaendeleo, Lissu ni mtu asiye na uchungu na Taifa letu, ni mtu...
1 Reactions
95 Replies
953 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kumpa Taarifa Mke wa Lissu kuwa kama anataka kumuona na kuonana na Lissu basi apande ndege na kuja Nchini ili aende gerezani kuonana naye na siyo kuongea ongea na...
1 Reactions
45 Replies
644 Views
  • Redirect
Wakati anafikishwa mahakamani leo hii21.7.2026 MH Lissu ametuhimiza sisi watanzania tukuchangie cdm maana ndiyo chama pekee cha kuwakomboa watanzania. Huu ni ujumbe muhimu sana kwa watanzania...
0 Reactions
Replies
Views
Yuko wapi!?! Huyu Naibu Waziri wa Kazi,Ajira na Vijana wa Zamani kupitia CCM ya Marehemu Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa Zamani wa BAVICHA ya HECHE?!! Au ndiyo Kimya Kingi tungojee Kishindo Cha...
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030? Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana. Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya...
4 Reactions
9 Replies
203 Views
Tanzania’s🇹🇿 Immigration Services Department has released a list of African countries whose citizens can enter the country without applying for a visa. The move is expected to boost tourism...
0 Reactions
6 Replies
227 Views
Back
Top Bottom