Wazanzibar wana viongozi wao ambao hawana chembe za rushwa na ufisadi, viongozi wao wana huruma na utu na wamejaa haki .
Ndio maana kodi za forodha Zanzibar ziko chini kuliko sehemu nyingi Afrika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026, ametoa wito...
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema...
Polisi wametanda hapa Mahakamani utafikiri kuna jambo la uasi linataka kutokea.
Kesi ya Lissu haipo leo ila kwa hali hii mashaka ni makubwa sana kwamba wanaweza kumleta Lissu hapa na kumuachia...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, amefunguka kuhusu sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni kuhusu kauli yake juu ya matumizi ya Mfumo wa Matibabu Kadi, huku akisisitiza kuwa mfumo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli...
OMBI LA KUONANA NA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU MADAI DHIDI YA BARRICK NORTH MARA & NORTH MARA GOLD MINE
Mheshimiwa Rais ninaomba kwa unyenyekevu nikutane na kukuelezea kibinafsi mateso...
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na...
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na majukumu ya Bunge, mbunge hana mamlaka ya kukusanya kodi, kuidhinisha matumizi ya fedha moja kwa moja, kuajiri watendaji au kutekeleza miradi. Majukumu yake...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewaasa wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika Mahakama ya Rufani siku ya Alhamisi, Juni 11, 2026, kusikiliza shauri dhidi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili wakuu serikalini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses...
Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa...
Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri...
Serikali imetenga Trilioni 1 kwa ajili ya safari za ndani na nje kwa mwaka wa fedha 2026/27. Bilioni 833 kutumika katika safari za ndani ya nchi na Bilioni 149 kutumika katika safari za nje.
Ni...
Wakenya wameonesha kusikitishwa na matukio ya uharibifu wa rasilimali na mali za umma na za binafsi Nchini humo, wakisisitiza kusimama kidete na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...
Mnamo tarehe 13 nilipowasiliana na wewe kuhusu suala langu uliniagiza nifike Kituo cha Polisi Oysterbay kwa RCO. Nilifika na kumweleza kero yangu. Alinipokea vizuri na siku hiyo hiyo akafungua...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam...
Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo
Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu
nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu.
Kumekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.