THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,498
- 5,435
Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030?
Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana.
Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya ilikua kusema neno MCHAKATO.
Hivi kuna Mtu hajui nini maana ya neno MCHAKATO?
Ujue Mchakato in English ni PROCESS sa Procesa tokea lini ikawa ya siku mda mfupi kibongobongo?
Na saiv kafumba macho mkimugusa swala la Katiba atawadanganya kua yupo busy ajenge kwanza Nchi na kusaka pesa,..atavuta wee ikifika 2029 huko anajua kabisa Kua PROCESS ya katiba ni ndefu ataanzisha Mchakato ambao naamini hautamalizika atakua yeye tayar kashatoka madarakani
Akija kufanyiwaga mahojiano kama Msataafu atasema MCHAKATO tuliuanza bahat mbaya mda ukawa ushatutupa Mkono ila documents zipo blah blah nyingi..
Then ataingia mwingine nae atakae ingia atasema tulieni tukae tuone tuanze MCHAKATO.
MICHAKATO ITAKUA MICHAKATO MICHAKATO Ila Katiba Mpya Chini ya hawa Vyura hatupati.
Tuendelee tu ku TRUST THE PROCESS...