Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya...
Habari za wakat huu,
Siku zinatembea sana aisee leo hii mzee wangu nikikaa nae tukaanza mijadala ya siasa Nchini.. hasemi tu anataka katiba Mpya anasema yatokee mapinduzi kabisa tena ya...
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.
Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.
Swali ni je...
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika"...
Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka...
Kigoma, Julai 20, 2026 – Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema hataogopa kuwahoji na kuwashinikiza mawaziri kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa...
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani...
Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kumekuwa na jitihada za kutumia njia za mkato kushughulikia changamoto za kisiasa na kiutawala nchini badala ya kuzingatia...
Kinachozua maswali ni kwamba kampuni ya Vitol inadaiwa kuiuzia Tanzania mafuta kwa takribani USD 260 (Sh 689,000), wakati mafuta yanayofanana yanadaiwa kuuzwa Uganda kwa USD 83 (Sh 212,000) na...
Mnisamehe sana dada zangu mko hapa huu uzi utakuwa mchungu sana hasa kwa wanaotaka ufeminist na pia wale wa Mitano Tena nao Utagusa mifupa ya uti wa mgongo
Toka enzi za mababu wana sababu za...
Ina maana mwisho wao wa kufikiri ni uwepo wa mtu akiondoka na maono yao yanaishia pale hadi kiongozi mwingine aje waanze upya.
Ndio ujue tofati ya Kiongozi na Kiazi.
Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao.
Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr...
Katika mahojiano na ayo TV, Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi, ameeleza kuwa matukio mengi ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa nchini yanatokana na migogoro ya kibiashara, uhasama wa...
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu...
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho
Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu
Taarifa zingine zinaeleza kwamba...
Jamani, napenda kueleza sifa moja ya ndege aitwaye bundi, ndege huyu pamoja na kuhusishwa na mambo ya kichawi sifa yake ya wazi ni kuzomewa na ndege wenzie pindi arukapo ndio maana nyakati za...
Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje.
Kulingana na miongozo ya jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.