Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje. Kulingana na miongozo ya jeshi la...
2 Reactions
5 Replies
175 Views
Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema kuwa historia ya China ni mfano wa namna sera sahihi na...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
The government's reorganisation of petroleum supplies has seen this company emerge as one of the most influential players in the sector. Owned by the powerful Nahdi family, which has close ties...
2 Reactions
2 Replies
147 Views
Kwenye ukurasa wake wa sociomedia, mwalimu mmoja wa sekondari, baada ya kusoma comments zinazotolewa na kundi la Mwaipopo, aliuliza swali "Hello Mheshimiwa IGP Tanzania mbona hamsemi chochote...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza...
3 Reactions
17 Replies
516 Views
  • Featured
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema mchakato wa maridhiano hauwezi kuanza au kufanikiwa ikiwa bado kuna kiongozi wa kisiasa anayekabiliwa na kesi...
16 Reactions
55 Replies
2K Views
Eti chadema wanachangisha Hela za kula chakula siku ya kikao cha kamati kuu kwanini wasichange UNGA wasonge ugali wale ? Kama hakuna Hela kwanini wasifanye online meeting? Hivi Bado hamuoni...
4 Reactions
82 Replies
897 Views
Demokrasia Haiwezi Kustawi Gizani: Uthubutu wa ACT-Wazalendo Ndio Mustakabali wa Zanzibar na Siasa Mpya ya Uwazi Na: Omar Juma Mustafa Mwenyekiti wa Vijana ACT-Wazalendo (Fuoni) & Mjumbe wa...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
6 Reactions
25 Replies
930 Views
Hatujasikia wakisema Samia na Nchimbi wachunguzwe walivyozitumia, leo million 300 tu press kila kona. Wachimba Madini walichanga bilioni 16. Kampuni ya GSM bilioni 10. CCM Zanzibar bilioni 4 na...
6 Reactions
12 Replies
287 Views
Hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alitoa tuhuma nzito za ufisadi kwenye uagizaji wa mafuta hapa nchini huku akihusisha kampuni moja inayouza mafuta katika nchi mbalimbali...
11 Reactions
25 Replies
533 Views
  • Redirect
Aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda na mwanasiasa mkongwe, Jenerali Moses Ali, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 wakati akipatiwa matibabu.
1 Reactions
Replies
Views
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, akizungumza Julai 17, 2026, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
2 Reactions
8 Replies
243 Views
Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake. Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo...
3 Reactions
7 Replies
75 Views
Kwasababu Ni wazi kutakua na casualties za kisiasa, kijamii na kiuchumi zitakazotokea, kama matokeo ya vita vya maneno ambavyo ni dhahiri vinaelekea kua vita ya zaidi ya vitendo hasa baina ya timu...
2 Reactions
23 Replies
211 Views
Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo...
2 Reactions
6 Replies
114 Views
Kwa sasa kwenye Ulimwengu wa siasa za Tanzania CCM kwa nguvu zote wanapambana na Chadema. Kitu kimoja wanachokosea ni kutaka kukidhohofisha na kukifuta kabisa chama hiki. Hili ni kosa kubwa...
11 Reactions
15 Replies
338 Views
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa. Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema...
7 Reactions
17 Replies
197 Views
Siasa zimekuwa sumu inayoua utaifa wetu kimya kimya kuja kushituka tutajikuta mateka kati yetu wenyewe Leo vyuo vikuu vimekuwa wazalishaji wakubwa wa machawa badala ya wataalamu Vijana wengi...
1 Reactions
12 Replies
161 Views
Back
Top Bottom