Bunduki hajawahi kuleta Amani Chalamila aache kukurupuka

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,150
Reaction score
22,112
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.

Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea.

Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote hapo ndipo jeuri yao ilipojificha maana mapolice na Mahakama zote ni za kwao
 
hilo jamaa huwaga ni lizombi siku zote. Sijui kama hata ana pa kukimbilia siku mambo yakipinduka (na ni hivi karibuni) wenzake wana ma apartment Arabuni, Yeye sasa ...
 
W
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.

Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea.

Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote hapo ndipo jeuri yao ilipojificha maana mapolice na Mahakama zote ni za kwao
We kenge AMANI haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Nyie nyumbu hamtabembelezwa ni chuma tu,
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
1781550737671.png
 
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.

Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea.

Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote hapo ndipo jeuri yao ilipojificha maana mapolice na Mahakama zote ni za kwao
Tatizo moja kubwa ni viongozi wenge kuongoza Kwa mabavu , ya kuwa watawala sui viongozi Kwa maneno ya ke Bagonza
 
Kulinda amani kwa kutumia nguvu ni kama kulazimisha penzi mwisho wa siku utavunja sheria tu🐼
 
Back
Top Bottom