Akizungumza leo Juni 12, 2026 katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari Salim Kikeke wa Crown Media, Waziri Mkuya ameweka wazi kuwa bajeti ya Zanzibar, ambayo kwa sasa ni Shilingi trilioni 8, haina uwezo wa kubeba mzigo wa matibabu ya bure kwa idadi kubwa ya watu kama ya milioni 60
"Kwa bajeti yetu ya 'eight trillion', hatuwezi kubeba watu wengi pengine milioni 60. Hiyo haiwezekani. Lakini haimaanishi kwamba wanaotoka Bara hawapati huduma. Wapo wanaokuja na kadi zao za NHIF, Strategies, au Jubilee na wanapokelewa na kupewa matibabu vizuri kabisa," amesema Waziri Saada.
Alipoulizwa na Salim Kikeke kuhusu sababu za kauli hiyo kuleta utata mkubwa, Waziri Saada amesema kuwa pengine hali ya sasa ya kisiasa ya sasa imechangia kuwepo kwa mihemko (sentiments) miongoni mwa jamii.
"Nadhani pengine sasa hivi hali tunayoiona kumekuwa kuna hizo sentiments nyingi, politically. Lakini I don't know... mimi ninazungumza Kiswahili, mimi nilikuwa nikizungumza Kiswahili pengine, pengine sometimes nazungumza kwa haraka pengine kuna mmoja aliniambia, "ile facial expression yako ulionyesha kama..." unajua pengine sasa mtu anaweza akatafsiri kwa utaratibu huo.
Soma pia