Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania. Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo...
3 Reactions
5 Replies
176 Views
Na GULATONE MASIGA Katika zama za teknolojia na mawasiliano ya kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kupitia majukwaa mbalimbali, wananchi wanapata...
1 Reactions
5 Replies
110 Views
Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba Boniface Jackob ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani ameitwa n.a. Polisi kwa Lengo la kuhojiwa kwa mambo yasiyofahamika Ameitwa tarehe 16/6/2026 Bali...
4 Reactions
8 Replies
292 Views
Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti...
5 Reactions
9 Replies
221 Views
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa...
1 Reactions
20 Replies
435 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa Askari Polisi Wilaya ya Kyera wanaishi kwenye bwalo ambalo walilijenga kwa nguvu zao wenyewe, lakini pia wanaishi pamoja na...
3 Reactions
16 Replies
434 Views
Wanabodi, Nimeisikiliza Press Conference ya Mwenezi wa Chadema, Brenda Rupia. Amemuita Mwenezi wa CCM, Kenan Kikaragosi badala ya Kenan Kihongosi, nikaona kauli hiyo inatakiwa kufanyiwa PNA...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Wabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi...
1 Reactions
9 Replies
164 Views
Kuna habari nimeona ya watu wa sinza wanalalamika hawapewi ushirikiano juu ya mradi wa maendeleo wa sinza uliopendekezwa wa kuboresha eneo la sinza binafsi umenifikirisha sana Plus mwezi wa nne...
3 Reactions
50 Replies
417 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia...
1 Reactions
26 Replies
820 Views
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika...
7 Reactions
15 Replies
305 Views
Kero si kitu kizuri maishani. Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi. Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea 1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari...
13 Reactions
68 Replies
865 Views
Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa...
148 Reactions
1K Replies
174K Views
https://www.youtube.com/watch?v=1DWPVZLDxLk
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi...
24 Reactions
214 Replies
31K Views
Miji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama. Raia mwenye...
1 Reactions
5 Replies
158 Views
Ofisi ya DAWASA Mbagala Rangitatu imeshindwa kwa makusudi kuwapatia maji wakazi wa Mbagala, ni nusu mwaka sasa wakazi wamekuwa katika mgao wa kupata maji mara moja kwa wiki! Mbagala inapata maji...
2 Reactions
6 Replies
174 Views
Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo...
1 Reactions
23 Replies
392 Views
  • Redirect
Sikiliza
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom