Wakuu,
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya, akisema hadi sasa hakuna hatua zozote zinazoonyesha...
Tukiwa tunaimaliza Sabato!
Nchimbi yupo sahihi. Kauli yake ya pambanieni katiba ni sahihi.
Wenye mamlaka wao hawana shida na Katiba mpya kwa sababu wao yakwao yanawaendea. Katiba kwao sio...
Mtu Yuko ndani ya gari anakuambia tuendelee kusukuma tukiwa ndani litasogea TU . Tunashangilia tuanaacha kuliondoa gari bovu tuingiingize gari jipya lenye uwezo wa kutuvusha hapa .
Tunaamini...
Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu.
Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu...
Akizungumza katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Julai 23, 2026, amesisitiza kuwa haki...
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO
Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa...
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas.
Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19.
Mwisho, Hongereni the so called...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya...
Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana.
Sabaya alivyokamatwa walishangilia...
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang...
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe...
Chanzo cha shida tuliyonayo imeanzia kwenye hotuba hii. Hebu tuitishe mjadala ili kuona kama Lissu anaonewa au la
https://youtu.be/KkIZj15NurU?si=zN6x4rY-kxSb1w8X
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano...
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu
Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu...
Wanabodi,
Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani...
Na Hapa Vijana Mnielewe vizuri .
Kuanzia 2026 hakutakua na Ajira , Hakutakua na kupandishwa mishahara Wala Madaraja, Hakutakua 10% ya Vijana .
Wakati mnashangaa shangaa
Ulaya na Marekan...
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni...
16 February 2026
Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8
Baraza la Dhahabu Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.