Ushauri wa Sheikh kwa mwanasheria mkuu wa serikali, atetea matibabu kwa Wazanzibari

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,191
Reaction score
14,048
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa dhati kwa Wanasheria Wakuu wa pande zote mbili kuweka wazi na kueleza kwa kina ni mambo gani hasa yanayounda Muungano na yapi yasiyo ya Muungano, ili kila mwananchi apate uelewa sahihi na kuepuka taharuki au hisia hasi.

Sheikh anasisitiza kuwa elimu hii itasaidia watu wa pande zote mbili kuheshimiana na kutambua mipaka ya kisheria na kijamii ya kila upande. Anatoa mfano wa masuala ya kibajeti na huduma kama za afya huko Zanzibar ambazo zinalenga Wazanzibari wenyewe, akionya dhidi ya tabia ya kupotosha maneno au kuingiza chuki pale pande hizo mbili zinapotetea haki au misingi yao. Mwishowe, anasisitiza kuacha chuki na kujenga uelewa wa pamoja badala ya upande mmoja kujiona ndio bwana mkubwa juu ya mwenzake.

Sikiliza
 
Attachments

  • b33ad6e5a137c46893f0c1a82ab7bcfe_1781581474346.mp4
    20.1 MB
Huu ndio mfumo wa dunia nzima, ni ngumu kuutoa. Ni mfumo unaotawala nyanja zote za maisha ya binadamu, mtaufuata tu kwa kupenda au kutopenda
Ndio maana dunia migogoro na haki zimekuwa zinakiukwa kwa wingi?
 
Sheikh analeta harakati za siasa za kidini, anataka uislam ndio uwe itikadi ya kisiasa kuongoza nchi. Hii nchi si ya kidini aachane na fikra hizo za kijinga
 
Umemskiliza vizuri? Au umemuelewa? Au bado upo baa haujakutoka?
 
Sheikh yupo sahihi kabisa. Hii Zanzibar kama Nchi kamili ina mambo yake yaso ya Muungano feki na ina haki yake kuyasimamia ati. Huu mfumo wenu pelekeni vigangoni huko
 
?????
 
Kama vipi ijitoe tu, na ikijitoa kwenye muungano ni furaha kwa masalia ya siasa za kisultan. Usultan utarudi kwa kasi mpya, upemba na unguja itakuwa ni dhahiri kugawanyika kisiasa.
 
Binafsi sijapoteza muda na bando langu kuangalia upuuzi 🚮
 
Mashekhe ubwabwa siku zote huona wakristo ndio adui na haijapata kutokea wao tatizo duniani kote.
 
Koaongea ukweli zanziba ni nchi ina bunge lake linapanga bajeti yake kwa wananchi wake wa zanzibar,tanganyika pambaneni na hali yenu!!
 
Hadi lini tutaendelea kuishi kwa vague definitions za Muungano huu?
 
Ni ujinga mkubwa suala lilobuniwa na kusemwa na waziri wa Zanzibar ambaye ni Mwislamu' kisha likanasibishwa na mfumo KRISTO

Huu ndio upumbavu sasa

Hivi' huyo Kristo kawachukilia nini nyinyi mbona hatoki vinywani mwenu? Shwain kabisa

Kwani Tanganyika ina bajeti ya Wazanzibar? Mbona wanatibiwa kwenye mahospital yetu huku Tanganyika kwa bima zisizo za Zanzibar?
 
Back
Top Bottom