Ndugu zangu Watanzania,
Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerudishwa rumande baada ya kumalizika kwa usikilizwaji wa Shauri la Kikatiba kwa siku ya leo Julai 23, 2026 Shauri Na...
When it's the monkey's day to die, all trees become slippery"
The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit...
Viongozi nane Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliosimamishwa uongozi baada ya kutoka hadharani kumtuhumu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, kwamba anakula fedha za...
Kwanza niwapate pole... waadhiri na watu wote walioko vyoni.
Ni wakati wa wao kusimama na kuiambia serikali kwamba iviache vyuo vifanye kazi yake ya kitaaluma.
Nyinyi kwenu kwamba endelezeni...
Profesa Anna Tibaijuka
Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo,
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604
Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti za Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/hongera-dk-nchimbi-kwa-kumeza-kidonge-kichungu-cha-tls-5354880
Hii ni makala ya...
Shauri la Kikatiba Na.7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) na wenzake linaendelea kwenye...
Mitazamo mitatu
1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka kwenye eneo la Tukio
Ametekwa na. waliojiita Polisi kwenye geti la nyumbani Kwake
Lengo la Watekaji ni Kumuua
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi Kama kishauawa ama la
Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa.
Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena.
Wakawarubuni baadhi ya viongozi...
DKT MWIGULU: AFRIKA IGEUZE MABADILIKO YA DUNIA KUWA FURSA ZA MAENDELEO
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Afrika inapaswa kutumia mabadiliko yanayoendelea katika siasa, uchumi na usalama...
Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini.
Unadhani...
Serikali ya Samia imemwacha bila kumkamata wala kumhoji shehe Mwaipopo aliyetangaza hadharani kuwa ana kikundi cha mbwa mwitu ambao kazi yao ni kuwatairi bila ganzi watu na kuwakata vichwa...
Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.
Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa...
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.
Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.
Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.