Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,882
- 50,727
Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena?
Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa na hofu na woga wa kupambana nao.
Jee CCM hawajihesabii kuwa wameshinda vita ya kuwafanya watanzania kuwa watumwa wao?