kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,968
- 16,621
Miji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama.
Raia mwenye akili timamu anajivunia kitu kizuri na safi kama vile masoko, mashule, barabara zilizopangika.
Shaghalabagala hii ni dalili kuwa serikali na CCM wanaelekea kubaya sana. Kitu ambacho CCM haikijui ni kwamba wanaofanya biashara holela na kucgafua mitaa sio wapiga kura, hawana muda wa kupiga kura.