Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali...
2 Reactions
6 Replies
227 Views
Nauleta mjadala huu unaogusa kiini cha unyonyaji na usaliti wa kiuchumi hapa Tanganyika, ambapo rasilimali za umma zimegeuzwa kuwa mali ya watu wachache na washirika wao wa kigeni. Nitachambua...
17 Reactions
58 Replies
891 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amewajia juu wanataaluma na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa kuendelea na masomo kama kawaida wakati mwenzao, Mhadhiri Melkisedeki Kaijage wa Chuo Kikuu...
13 Reactions
31 Replies
734 Views
Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ? nilidhan PhD...
3 Reactions
6 Replies
130 Views
Facebook wamesema posting zangu zinatazamwa sana. To give you an example, video post moja yangu ilipata 300K+ views. I think it was 365K. Kwa hiyo nimeshangaa kuiona hili posting sasa hivi,post...
4 Reactions
3 Replies
123 Views
Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana. Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo...
0 Reactions
4 Replies
82 Views
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZAHANATI YA KIJIJI NDULUNGU Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, tarehe 24 Julai...
1 Reactions
2 Replies
67 Views
Jioni ya leo Katibu wetu wa CHADEMA kanda ya Serengeti Jackson Mnyawami amesomewa kesi ya mchongo ya UGAIDI pamoja na wanachama wengine zaidi ya 10 Shinyanga, usiku huu wamepelekwa Gerezani...
8 Reactions
40 Replies
589 Views
Wanabodi Habari za Jumapili?. Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo. Ukifungua katika ya JMT ya mwaka 1977, neno la kwanza kwenye katiba ni neon "KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri...
1 Reactions
9 Replies
365 Views
Kutokana na ongezeko kubwa la wimbi la ufunguaji wa kesi nyingi sana za Uhaini na Ugaidi hivi sasa nchini katika utawala huu uliopo, kuna kila sababu ya kuwa na mashaka makubwa juu ya intelijensia...
1 Reactions
8 Replies
181 Views
HAYA sasa mmepata mlichotaka baada ya kukaidi kuonywa muda mrefu sana. Yuko wapi mtoto wa Heche? Yuko wapi mtoto wa Mnyika? Yuko wapi mtoto wa Lema? Yuko wapi mtoto wa Msigwa? Yuko wapi mtoto wa...
1 Reactions
38 Replies
760 Views
Assalam alaykum Jitu hili sio la kufanyia mchezo litangamiza roho za watu wengi mno Jitu hili ni hatari hata kwa viongozi wakuu wa nchi, hizi lawama anazopewa mama yetu ni bure hili...
17 Reactions
53 Replies
868 Views
Kumetokea mabishano makali bungeni kuhusu hotuba ya kambi ya upinzani kwamba iondolewe sehemu ya hotuba hiyo kuanzia ukurasa wa 1-4. SIKILIZA AUDIO YA UBISHI HADI MATUSI HAPA -> Yaliyojiri...
25 Reactions
120 Replies
21K Views
Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka Eitha kutokana...
11 Reactions
31 Replies
556 Views
Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
0 Reactions
4 Replies
66 Views
Mbona kama ameanza kuaga mapema sana kwani anaenda wapi. Alianza Samia mwenyewe akasema mtanikumbuka, leo Mchengerwa naye kasema mtamkumbuka. Nakumbuka hata wakati wa mwisho wa enzi za...
13 Reactions
33 Replies
581 Views
Muungano wa Kutetea Uhuru wa Taaluma Barani Afrika (ACAF) umemwandikia barua rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ukitaka kuachiliwa mara moja kwa...
8 Reactions
24 Replies
485 Views
Nawapa onyo ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machaguo mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu...
11 Reactions
13 Replies
227 Views
Njama hii ya kishamba inayopangwa na mamlaka za Tanzania imefichuliwa na John Mnyika alipoongea na Waandishi wa Habari Jijini DSM Amesema kwamba viongozi na wanachama wa Chadema waliokamatwa kwa...
18 Reactions
58 Replies
815 Views
Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi. Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza...
23 Reactions
46 Replies
695 Views
Back
Top Bottom