John Heche awakumbusha Nachingwea mababu zao walivyowatenda madhalimu wa Uingereza

Joined
May 21, 2026
Posts
35
Reaction score
58
Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ???

Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa. Forced labor, land alienation and draconian taxation.

Nachingwea wakasema tutakinukisha.

Usiku wanakijiji wakang'oa reli. Wakachemsha mbegu za karanga walizopewa, halafu wakazipanda. Mwingereza anasuburi Karanga ziote, karanga bila bila.

Habari zikafika Bungeni Uingereza, mradi wa Tanganyika Groundnuts Scheme ukasitiswa mazima. Dhalimu akaondoka Nachingwea.

Hakukuwa na ma group ya mawasiliano enzi hizo. Nyinyi mnakwama wapi na hawa madhalimu ???

Heche anasema Korosho serikali inauza 4000 kilo, mkulima analimwa makodi anapewa 1600. Korosho eti unampa yeye akaiuze, akate cha juu anachotaka yeye!

Kodi sasa, serikali wanaikula halafu wanawaletea ka mbolea. Wanasema wema wa Mama. Mama amewaletea mbolea. Kumbe ni makato ya mauzo ya korosho yenu wenyewe. Wanawafanya mandondocha na mafala.

Mnakwama wapiiiii ???
 
Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ???

Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa. Forced labor, land alienation and draconian taxation.

Nachingwea wakasema tutakinukisha.

Usiku wanakijiji wakang'oa reli. Wakachemsha mbegu za karanga walizopewa, halafu wakazipanda. Mwingereza anasuburi Karanga ziote, karanga bila bila.

Habari zikafika Bungeni Uingereza, mradi wa Tanganyika Groundnuts Scheme ukasitiswa mazima. Dhalimu akaondoka Nachingwea.

Hakukuwa na ma group ya mawasiliano enzi hizo. Nyinyi mnakwama wapi na hawa madhalimu ???

Heche anasema Korosho serikali inauza 4000 kilo, mkulima analimwa makodi anapewa 1600. Korosho eti unampa yeye akaiuze, akate cha juu anachotaka yeye!

Kodi sasa, serikali wanaikula halafu wanawaletea ka mbolea. Wanasema Mama amewaletea mbolea. Kumbe ni makato ya mauzo ya korosho yenu wenyewe. Wanawafanya mandondocha na mafala.

Mnakwama wapiiiii ???
Ukisikia UAMSHO ndio huu sasa!
 
Mi nina chuki na ccm kiasi kwamba mtu ambae nampenda akijiunga na hicho chama tu inakua simpendi tena.
 
Back
Top Bottom