Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,494
113,590
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis" kunakopelekea mtu ku behave anavyobehave bila yeye kujijua, hivyo akijijua, ana chance ya kubadilika.

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hii ni difence mechanism, anakuwa hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ukiona mtu anaongea with fire on his eyes, ujue fear is the weapon on his heart. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo virefu na maneno mafupi, kama ilivyo kwa wanyama fisi na simba.

Fisi na Simba, Mwenda Kimya Ndio Mla Nyama.
Fisi hupiga kelele ili kumtisha mnyama anayetaka kumuwinda, mnyama huyo akisikia kelele ya fisi na kuanza kukimbia kwa uoga, fisi ambao hutembea kundi na humkimbiza kwa makelele, hivyo katika kupiga huku kelele, hii ni dalili ya uoga, lakini pia huwakimbiza wanyama wengine, hivyo fisi kuishia kukosa nyama. Lakini simba na chui, hawa wakiwinda, huwinda kimya kimya, ni vitendo tuu, hivyo simba mwenda kimya ndio mla nyama, na kufuatia ustadi huu wa simba kwenye kuwinda, ukiona tuu mahali kundi la fisi, ujue kuna simba karibu.

Mbwa Mkali na Mbwa Koko.
Hata kwa mbwa, mbwa koko ndio huwa anabweka sana!, wakati mbwa mkali huwa anaangalia tuu, ukimsogelea, unang'atwa, lakini mbwa koko, anabweka sana, ukimtisha tuu, ...mkia. Wazungu wanasema, the barking dogs, seldom bite. Hivyo watu wanaosemasema sana, bila wao kujijua, ni dalili ya inferiority complex, watendaji wa ukweli, hawasemisemi sana, mtaona tuu matokeo ya matendo yao!.

Hili bandiko ni la kuwasaidia viongozi wetu, tupunguze maneno mengi, tuongeze matendo!. Ubora wa viongozi wetu upimwe kwa matokeo, results oriented outcomes na sio uhodari wa kuhutubia majukwaani. Tumeanza kufikia stages hadi baadhi ya maneno tumeanza kuyazoea ni maneno yale yale yanajirudia rudia, mwishowe yatachusha.

Psychoanalysis ni Nini, na ya Kazi Gani?
Kuna msemo usemao, information is power, yaani ukiwa na taarifa sahihi, unakuwa na nguvu, hivyo hii psychoanalysis ni somo la kujifunza kwa nini watu wana behave kwa namna fulani kwenye situations fulani. Hivyo ukijua tabia za watu, kwa nini they behave the way they behave, wewe unakuwa na power ya kuwafahamu na sometimes bila wenyewe kujifamu, hivyo kwa kuandika humu kuhusu human behaviors, hii inaweza kuwasaidia kubadilika, and changing for the better kwa kupunguza maneno na kuongeza vitendo. Waalimu wakuu wa hili somo la psychoanalysis, ni wawili, Carl Jung na Sigmund Freud.
Carl Jung na Sigmund Freud ni Nani na Walifundisha Nini kwenye Psychoanalysis?
Hawa ni mabingwa wa somo la saikojia ya watu na walijikita katika kufanya analysis za kubaini chanzo, the motive behind, tabia, maneno na matendo ya baadhi ya watu, huku Freud akijikita zaidi katika mahusiano ya kifamilia na Jung akijikita katika mahusiano ya kijamii, hivyo Freud kuheshimika kama mwanzilishi wa psychoanalysis na Jung akawa ni muasisi wa analytical psychology au Jung psychology, tena ingekuwa ni amri yangu, ningeamrisha viongozi wetu wote wapatiwe semina ya Jung Pschology inafundishwa katika kituo cha TAGLA pale IFM, kwa njia ya distance learning, kutawasaidia sana, maana kuna wengine wanadhani kuongea sana, kuhutubia sana, au kuongea kwa ukali na vitisho, ndiko kutalisaidia taifa hili kupata maendeleo!. No way, maendeleo ya kweli hayaletwa na maneno, na ukali au vitisho, bali yataletwa na matendo na mipango mkakati!, Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.

Complex ni Nini, Kuna Aina Ngapi za Complexes
Complex ni tatizo la kisaikolojia linalomfanya mtu kuwa na tabia fulani fulani, namna anavyozungumza, maneno na matendo ya mtu, ambayo yamesababishwa na asili, malezi, makuzi na mapito mtu aliyopitia, mfano kwa watu wa baadhi ya makabila kuongea kwa ukali, wengine ukali huu wanautafsi kama ni udikiteta.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Kuna watu wengi wanafanya mambo fulani ambao wao wanayaona ni ya kawaida, bila kujijua kuwa wanayafanya hayo wanayoyafanya kutokana na matatizo ya kisaikolojia ya complexes. Hizi complexes ziko nyingi
Inferiority Complex ni Nini na Superiority Complex ni Nini, na Zinatatizo Gani?.
Inferiority complex ni kujisikia mnyonge, na superiority complex ni kujisikia wewe ndio zaidi. Mtu anayejisikia myonge, atajikuza hivyo kujikuta ana practice vitendo vya superiority complex, na mtu anayejiskia yeye ni superior kwa kuonyesha kwa vitendo vya kujikuza, in reality anakuwa anakabiliwa na tatizo la inferiority complex. Hata katika mahusiona, mkimuona mume au mke ana wivu sana, hamuani mwenza wake kila mara ana hisi mwenzie anatoka nje ya ndoa, ujue huyo sio mwaminifu ni kweli hutoka nje, hivyo kama anavyoiba, anahisi anaibiwa!. Ukimuona mtu anaonyeshea utajiri sana, kupiga picha na mabulungutu ya fedha, kuvaa madhahabu, au kuonyesha ufahari wa vitu, ujue huyo ni masikini wa roho, ametoka katika background ya umasikini, sasa anazo. lazima watu waone. Watu waliotoka kwenye background ya well to do, huwezi kuwaona kuonyeshea ubishoo wa utajiri. Ukiona mtu anapiga picha sana na mabeibe tofauti tofauti kuonyeshea jinsi alivyo kipanga, ujue hamna kitu, na wale ambao ukiingia kwenye status zao, huwezi kukuta mapicha ya ajabu ajabu!, hawa ndio hatari, simba wenda kimya, ndio wala nyama.

Hizi complexes zina tatizo gani?. Tatizo kubwa la complexes ni kutumika kuonyeshea!, katika kuonyeshea huko, sometimes wanajikuta wana over do, hivyo kuumiza wengine katika juhudi za kutaka ku satisfy ego zao. Kuna mahali niliwahi kuuliza hivi
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo ...

Dalili 7 za Inferiority Complex

Inferiority complex is a feeling of not being competent in any given activity; it is a personal feeling of inadequacy arising from the overcompensation of other’s achievements /goals over yours.
Inferiority complex could also be said to be a conflict between the desire to be recognized and appreciated and the apprehension or anxiety of being humiliated. This feeling is often subconscious.

The seven (7) signs you have to watch out for to determine when you are exuding the feeling of inferiority complex are vividly enunciated in the subsequent paragraph(s).

1. Hypocritical Attitude (H.P.): People who do not feel alright about themselves have problem feeling good about others. They would always look out for loopholes in people’s endeavours to try to convince themselves that they are not bad at all. These people cannot feel comfortable as being attractive, intelligent and competent, e.t.c., they will only have the feeling of being good provided they are only one around exuding the aforementioned qualities.

2. Tendency Towards Blaming (T.T.B.): Some people project their weaknesses onto others in order to lessen and ameliorate the pain of inferiority. For instance, if a person shows his weaknesses or inadequacy to others in order to prompt them to noticing it, so that his perceived incompetence can be justifiable by his short story of woe. This is just a step towards giving the responsibility of their failures to others.

3. Feeling Of Persecution (F.O.P.): when carried to the extreme, blaming others can extend to believing that others are actively seeking to ruin you. If a student fails an exam he sat, it may comfort him to believing that his teacher hates him and would do anything to hurt him. This will only allow him to avoid personal responsibility for his action.

4. Inappropriate Response To flattery (I.R.F.): This works in two forms. Some may refuse to listen to anything positive about themselves because it is inconsistent with their interior feelings. Others may be desperate to hear anything good about themselves and constantly fishing for compliments.

5. Sensitivity To Criticism (S.T.C.): Although people who feel inferior ‘know’ they have shortcomings, they do not like other people to point this out. They tend to perceive any form of criticism, regardless of how sensitively and constructively it is presented, as a
personal attack.

6. Tendency Towards Seclusion And Sensitivity (T.T.S.S.): Because people with an inferiority complex believe that they are not as interesting or intelligent as others, they believe other people have the same feeling about them. So they tend to avoid speaking up in public because they believe doing so will create an embarrassing demonstration of their ineptitude.

7. Negative Feeling About Competition (N.F.A.C.): People who have inferiority complex like to win games and contests as others, but they will always avoid such situation because deep down, they know they cannot make an head way. Not coming first is an evident evidence of failure.

Dalili na Madhara ya Superiority Complex.
A superiority complex is a psychological defense mechanism term coined by Alfred Alder. Somewhere in life we all develop this form of defense mechanism in a very minor form. But there are people who might be suffering chronically, and have no idea about it. Superiority complex also in a way compensates the inferiority complex in a person. Alfred was also of the view that a person with superiority complex may use it as a method of escape from his inferiority complex.

Though this claim of Alfred is often challenged by modern psychologists. As they are of the belief that an individual cannot have both the problems. No matter what the topic is, in psychology it will always have different schools of thoughts and arguments. But here we are with something almost everybody agrees upon.

These are the symptoms of person with superiority complex:
Haughtiness
This is the first trait of person with a superiority complex, they have this quality of being arrogantly superior and disdainful. They tend to find others below the imaginary level they think they are on.

They are always right, you are always wrong.
And the most obvious one, situation, argument, logic, nothing matter when they think they are right. And if they are unable to prove their right, they will definitely prove you wrong. They always look down upon everything that someone else does or is someone else’s opinion.

You don’t agree with them, they will write you off as idiot
Now this is again a habit of persons with a superiority complex. They might end up thinking that you were are nothing but an idiot.

Lack of empathy
To feel the pain and problem of others you need certain level calm and compose in life. People who have this complex end being cold heart. For them it is difficult to even consider others empathy is a far away thing.

Tendency to brag
You will always find them bragging about something or other about themselves or the things they own. These are the people who don’t always think beyond things and brag about it all.

Interrupters
They are a big time interrupters, and they think it is always their right to get into a conversation. They understand the subject or not, it doesn’t matter they will always have a opinion.

Anxiety
People with this order often develop anxiety issues with various things. It is always a conflict between their true self and the projected image. It is always difficult for them to manage between the two personalities. And this struggle intensifies the issue further.

Mood Swings
With so much of problems, issues and overthinking they end up exaggerating each and every experience. All these infinite thoughts gives them a intense mood swings problem. As they keep on juggling with emotions, overthinking, judgement et al.
Hitimisho.
Sisi kama raia wema wa nchi yetu, tunawajibika kuisaidia nchi yetu na watu wake wakiwemo viongozi wetu, kama kuna maeneo tunaona tunaweza kusaidia, then tusaidie, mimi eneo langu ni hili ya kutoa habari, kuelimisha na kufundisha.

Mwenye masikio na asikie.

Paskali
Rejea kuhusu mada zangu za Psychoanalysis
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili ...
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na ...
Tujifunze, Tuijadili na Kuielewa Historia ya Rais Wetu | Page 13 ...
Sigmud Freud na Cocaine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo ...
Dkt. Magufuli akubali yaishe maisha yaendelee | Page 2 ...
Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM? | JamiiForums | The Home of ...
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
 
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Ndugu Pascal Mayalla .
Wewe ni mwana habari , andiko hili umelicopy pate mahala so usisahau ku Acknowledge mtu aliyeliamdaa .

Nakumbuka nilisoma hii mwaka jana somewhere
 
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Ndugu yangu asante sana kwa darasa psychoanalysis ila mbona sifa hizi zinamhusu?
 
Wanabodi,
Leo naomba niwaendeshee semina fupi ya somo linaloitwa psychoanalysis. Hili ni somo la kuisoma mienendo ya binadamu ikihusisha tafsiri za kisaikolojia za maneno na matendo yanavyohusianishwa na tabia zilizojificha kwenye subconscious mind na kubainisha vitu vinavyoitwa "deep rooted neurosis".

Mfano mtu anaye practice overconfidence, ana tatizo la lack of confidence. Mtu anaye practice superiority complex, ana tatizo la inferiority complex bila kujijua. Na ukiona mtu anaongea sana kwa ukali na vitisho ujue hana lolote katika utekelezaji, ni talker tuu na sio mtekelezaji. Ni maneno marefu lakini vitendo vifupi, lakini the doers wanaonyesha vitendo
Huu ni ukweli mtupu ningesema mengi lakini niishie hapa
 
Shemeji tafadhali hatuna pesa za kukupeleka NRB
 
Mayara nakupa masaa mawiri uwe umejisarimisha hapa POLISI kituo cha kati vinginevyo hautakuwa sarama!!
 
Back
Top Bottom