Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,681
- 119,317
Wanabodi
Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa, au ninapoambiwa ukweli kuhusu madhaifu yangu. Mimi sio mwana saikolojia ya kufundishwa darasani bali saikolojia ya kujifunza by observations kwa nini mtu fulani ana behaviour fulani, hivyo hili ni bandiko la mambo ya psychoanalysis ya height ya mtu.
Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body morphological na anatomically kuhusu uhusiano uliopo kuhusu umbile la mtu and the way he thinks, feels, speak and behave. Ni kuhusu, urefu, ufupi, unene, wembamba, weusi, weupe etc, kuna hoja kuwa umbo la mtu lina direct relations na anavyo behave.
Hii nimeipata kwenye kitabu kiitwacho "Man Watcher" kilichoandikwa na mwana sosho saikolojia Dr. Desmond Morris, kuwa wengi wa watu wafupi (sio wote), wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli sometimes kupindukia, na huchachamaa!. Pia nimesoma hoja hizi katika vitabu vya Dr. Sigmund Freud na Carl Jung.
Hata katika andiko hili imeelezwa
Short Man Syndrome Explained - Health Guidance
Napoleon complex - Wikipedia
Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu ikatokea mfupi huyo ni mwanamume mwenye tabia za male chauvinism, halafu kudharauliwa kwenyewe, of all the people, kuwe ni kudharauliwa na mwanamke, halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi sio amedharauliwa tuu bali amefedheheshwa tena mbele ya kadamnasi ya watu!, can you just imagine itakuwaje?!.
Kitu cha kwanza atakuwa provoked na na mtu anapokuwa kwenye the highest stages za provocation anapata hali inayoitwa "pseudo insanity" anakuwa insane, hivyo anaweza kufanya lolote, at that particular moment ila akiwa ni miongoni mwa wafupi hawa then be very careful, not to provoke them, maana wanaweza kushika chochote kilicho karibu na kukudhuru nacho hata kukuua, na akiwa na mwanasheria mzuri akajenga hoja ya acting under provocation, then he will walk free!.
Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Huwa wanakasirika hadi wana wish wa ku crush kwenye blenda, wakutwange kwenye kinu au wakusage sage!.
Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika sana hadi kuchukua gongo na kumtwanga nalokichwani yule mrefu akaanguka akazimia!.
Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.
Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, ili kumuongezea confidence?.
Mimi licha ya kuwa mfupi, pia ni single hand driver, nikiendesha gari za juu kama ma SUV nakuwa very confident ila nikiendesha vigari vidogo vya chini kama Suzuki Alto au ki Kirikuu nakosa kabisa confidence! na haswa ninapopitwa na ma lori makubwa au semi trellas, najiona kama zinataka kuni crush ndani ya kirikuu yangu.
Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja
kule mjengoni kwetu Dodoma, kuna warefu na wafupi. Mfano wabunge warefu wanajisikia sana, wanaongea wakiwa proud and very confident tena kwa tambo za uhakika kama yule profesa wangu. Iko wizara Waziri ni mfupi naibu mrefu, Waziri akiongea anaonekana kabisa hana confidence lakini naibu yuko very confident.
Kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Akiongea kama anashout ili sauti isikike, huku anatupa mikono na anakukuruka utadhani anataka kupanda juu ya meza ili watu wamuone hivyo lazima ataongea kwa sauti kubwa na kumalizia kwa kituko kuvunja watu mbavu!. Jee inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?. Yaani wengi wa wafupi hawa, huwa wako tayari kufanya lolote, to get much needed attention, kuwa na wao wapo!.
Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there any proportionality or any correlations kati makosa yao, kujisikia kwao, dharau zao, viburi vyao na jeuri zao ukilinganisha na heights zao na kiwango cha heights za wanao wakasirisha?.
Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu na hata kama kuna mfupi yoyote unayemjua au kumdhania, kuwa na tabia kama hizi, please please please nakuomba usimtaje jina, bali muhifadhi ili hasira zake zisije kunishukia mimi!.
Hivyo ukiona mtu ana behave kiajabu ajabu ku seek attention kuwa yeye ni mtu muhimu sana, ana nguvu sana, anaongea kwa vitisho with over confidence, anatoa adhabu za ajabu ajabu, kabla hajalaumu, fikiria kwanza height yake, then utaelewa sababu, jambo ukiishalielewa, halikupi shida!.
NB. Kufuatia hali hiyo ya ufupi, wengi wao vichwani wako smart, wana bidii sana ya kazi kwa kujituma to prove ufupi sio hoja, hivyo wengi wako very successful kimaisha tatizo ni over confidence.
Angalizo Muhimu.
Kwenye any general rules, always there are exceptions to the case, hivyo sio wafupi wote wako hivi, kuna watu wafupi kibao, they are very fine men na hawana dalili zozote za inferiority complex kutokana na ufupi wao, na kuna warefu, ni pandikizi ya watu, lakini wakawa ni kubwa jinga!.
Paskali