Kikosi cha Wanajeshi kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo yatakayohudhuriwa...
Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi...
Mnyika ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Masasi leo Ijumaa Juni 19, 2026 kwenye muendelezo wa ziara za Chama hicho Kanda ya Kusini, akiliita jambo hilo kama kihoja kinachofanywa...
Wanajukwaa, nina imani wote mko sawa.
Pasipo kupoteza muda, naomba niingie kwenye mada tajwa hapo juu.
Binadam kwa kawaida, huwa na hulka ya kulipiza kisasi kwa aliyemkosea au adui yake. Hiki...
Profesa Anna Tibaijuka amesema polisi wana haki ya kuhoji kauli au jambo lisiloeleweka wanapohisi linaweza kuwa na viashiria vya uchochezi au kusababisha vurugu.
"Polisi akisikia jambo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha chakula kwa wingi katika ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, hali inayofungua fursa kubwa ya...
Mbunge wa jimbo la Mbogwe mkoa wa Grita Fagason Nkingwa ana umri wa miaka 36, wake 3 na watoto 16.
Hakika anatekeleza agizo la Mungu kwenye Mwanzo 1:28; Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia...
Profesa Anna Tibaijuka amesema haridhishwi na mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa mchakato wake unaonekana kwenda polepole kuliko matarajio ya wengi.
"Tundu...
Hamjambo!
Ukweli unatabia nyingi. Ukweli kiasili ni katili na haujali.
Ukweli hauhitaji validation.
Ukweli ni dawa ukitolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi.
Hata hivyo ukweli haujali kuhusu...
Nilipotembelea Zanzibar hivi karibuni, nilibaki na maswali mengi kuhusu hali ya ACT Wazalendo. Chama ambacho kilikuwa na mvuto mkubwa wa kisiasa, kilichokuwa na mikutano yenye hamasa, matawi yenye...
Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless.
MY TAKE
Watanganyika...
Nianze kwa Istilahi hii ngeni.
Mamlaka ya Kiraia.
istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali.
kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa...
Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE
Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari...
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.