Habari njema kwa mkoa wa Rukwa. km 658 za barabara kuwekwa lami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari njema kwa mkoa wa Rukwa. km 658 za barabara kuwekwa lami

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Oct 20, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,136
  Trophy Points: 280
  ..habari hii imenipa moyo sana.

  ..mkoa wa Rukwa una ardhi nzuri kwa kilimo and it is about time uweze kufikiwa kwa barabara za uhakika.

  ..kwa wenye uelewa wa maeneo yatakapita hizi barabara naomba mtupe mwangaza zaidi.

   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Good news lakini nina mashaka kidogo inawezekana ni uchaguzi umekaribia tuu,na mbona project kama hizi ni makampuni ya nje tuu ndio yanapata kazi? hivi ni kweli hatuna makampuni ya ndani yenye uwezo wa projects kama hizi...imagine hizo 600 bilion zingeingia kwenye makampuni ya ndani maana zingeishia kuzungushwa tena kwenye projects nyingine lakini sasa zote zinaishia Beijing,sipingi makampuni ya nje na lazima yapewe kama yanafanya kazi nzuri kuliko ya ndani maana tunachotaka kwanza ni barabara lakini its time makampuni ya ndani yafanye kazi kwa bidii ili yaingie kwenye projects kama hizi!
   
Loading...