Kuna habari kwamba JK atahutubia Taifa Usiku huu je zina ukweli ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ninapata message kwenye screen sasa kwamba JK atakuwa anahutubia Taifa ama atakuwa anaongelea mambo mbali mbali , je ni kweli ama ni habari za mtaani ?

Mwenye nyeti azimwage hapa tujue namna ya kuipata hotuba ya Mkulu LIVE
 
AAahhh, watu watamsikiliza vipi AU watamwonaje wakati hawana umeme, Au unamaana watu wote wakusanyike viwanja vya Jangwani!!!
 
kwanza asitupotezee timing atuache tuangalie mpira sisi..anaongea nini?ni dhahiri hana jipya au thread ya Rev.ya kumsifia Lowassa imemstua..hahaaaaa kazi anayo na mambo yake yya zima moto hayo
 
Back
Top Bottom