Assume Tony Blair wa Uingereza wakati yuko madarakani anaanziasha kampuni na mkewe,Cherie ,wanaiita CHETON Ltd.Then wananunua mgodi wa makaa ya mawe huko Wales.Pesa hizo za kununua zinatoka benki...
The founder of the US-based Richmond Development Corporation (RDEVCO) LLC, Mohamed Gire, now appears to have re-invented the company at the centre of a large-scale corruption scandal in Tanzania...
The classic power struggle between the legislative and executive branches of government have come to a head in a spectacular confrontation between the PCCB Czar and the Speaker representing the...
Wiki mbili zilizopita, nilishauri Serikali ya Tanzania iiunge mkono Iran katika mpango wake wa Nuclear kwa matumizi ya amani. Vile vile nilipenda kuishawishi Tanzania iwe na mpango wa kuwa na...
Ile hali ya kuugua na kuanguka ghafula kwa wabunge iliyokuwa imesimama, sasa imerudi tena baada ya mbunge wa viti maalum Mh, Maria Hewa kuanguka ghafula akiwa bungeni dodoma na kukimbizwa...
US showers JK with praise on governance
By Angel Navuri
President Jakaya Kikwete
The United States has commended President Jakaya Kikwete for playing a pivotal role in setting up...
Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo...
Ndugu wanajamii wenzangu.
Gazeti la Rai la Tarehe 29/10/2009 katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha sehemu ya Barua iliyoandikwa na Mh. Eduu Lowaa Hasaa aliyekuwa waziri Mkuu wa Kwanza katika...
Mgomo Mlimani Na Katuni Iliyosahauliwa
Na maggid mjengwa,
UKISIKIA mtu amegomea jambo, unachotakiwa kuuliza ni kipi kilichomfanya agome. Maana, kugoma kuna maana pia ya kupinga. Wajibu wetu iwe...
Ikiwa ni Ishara tosha kuwa katika uchaguzi mkuu ujao CCM Tabora Mjini itapoteza viti vingi vya Udiwani kama mtendaji wa CCM tabora Mjini na Timu yake hawatawajibishwa! hadi Uchaguzi unafanyika...
Mgonjwa wa moyo wahi THI, upasuaji wa bure...
2008-10-17 10:32:36
Na Richard Makore
Muungano wa nchi za Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa moyo kutoka nchi mbalimbali...
Na Bahati Mwiko, Bariadi
28 October 2009
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Bw. Andrew Chenge amesema hakuna mtu anayemsaka kwa ufisadi na kama yuko amfuate Bariadi amkamate.
Vile vile Bw. Chenge...
Quote:
Phillemon Mikael
yeye ndiye anabebaga lile koba la pesa za shopping za rais nini.....maana jk akienda lazima achukue cash BOT si chini ya dola milioni 1....imprest ....na hakirudi...
Zitto akwama bungeni
na Sauli Giliard, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), jana alikumbana na wakati mgumu baada ya wabunge kugoma kuunga mkono hoja yake ya...
Kinachoingoza Tanzania ni nini? Je ni Katibaya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Katiba za Vyama vya Siasa na hasa Chama Tawala CCM?
Je Watanzania waliopewa majukumu na dhamana ya kuingoza...
Mwenzenu ninatatizwa na jambo moja nalo nihili la Umeme na maswala ya Dowans....
Nikifikiri kwa makini na kwakina natatizika, kweli hakuna mkono wa namna namna katika hili swala la kukatika...
Angalia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010 yafuatayo ni mafanikio ya miaka mitano ya kwanza ya Ari, Kasi Nguvu Mpya.
1. Mtanzania wa kwanza kufanya kazi Ikulu ya Obama
2. Mtanzania wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.