Tujadili Matumizi ya Raisi JK

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Quote:

yeye ndiye anabebaga lile koba la pesa za shopping za rais nini.....maana jk akienda lazima achukue cash BOT si chini ya dola milioni 1....imprest ....na hakirudi kitu....

...lakini sasa napata shaka na melta hoja ..inawezekana kweli jairo anapiga bao wenzake kwa kubaki na keep change za fuko la safari...lakini mnao uhakika mioyoni kwenu kuwa mnalalamika kwa uchungu mlionao kwa taifa...au mnalalamika kwa kuwa mmekosa fursa ya kubebeshwa fuko la pesa za safari za rais???

kubeba fuko la pesa la rais mtumbuaji na mpenda mabibi kuna raha yake...kwani hata yeye hawezi kukumbuka ameagiza ununue nini,kwa ajili ya nani..na kwa bei gani....,na ukirudi hakuna muhasibu mwenye ubavu wa kukulazimisha uandikie kila kitu ulichonunua ...maana it will amount to kumchimba rais....tofauti na waliokuwa wakimbebea pesa mwalimu...ambaye akijuwa anatoka nchi masikini ...alikuwa akisafiri hadi na unga wa muhogo..ili aendelee kupiga ugali...na hakuwa na haka ya kwenda mark and spenser ...zaidi ya kushonea nguo zake vibarazani..dar,sasa sijuwi ukirudi fuko limeisha ungewaambia nini wahasibu...au yeye mwenyewe asikie ameambiwa katumia pesa.....so all the time fuko la pesa za safari la mwalimu lilikuwa linarudhiswa hazina halijaguswaa......

kuna msaidizi mmoja wa mwalimu ..kwenye security entourage yake enzi hizo..the like of jairos ...alinieleza namna ilivyokuwa ngumu ...hata kumnunulia mwalimu kiatu london....mara nyingine iliwabidi wafanye ubishi tu ....wanunue..,then wanabandua lebel...kuondoa price tag....maana asingepokea kiatu cha gharama....sasa siku hizi kwa nini usijenge kama rais mwenyewe.....ananunua designers brand...newyork ...just a blazer..for up to $4,000 per pc....acha vitu vingine...na anavijua viwalo..hamjaona east african ...he is considered among the african well dressed statesman...

Mnaionaje hii wadau, kama alivyotuhabarisha Phillemon Mikael kwenye ile post ya Jairo
 
Kuna thread humu inamwonyesha JK ni Kiongozi wa Nchi "mrembo" wa 20 duniani!
 
lakini Kitu ambacho sikielewi si tu Rais wa Jamuhuri anatumia nini, ila mke wa Rais, Ziara zake anagharimiwa na Mumewe au Hazina ya Taifa ? maana anazunguka nnchi nzima, akihubiri mambo yasio eleweka, mimi nashangaa sana. nnci hii ni masikini , naamini mke wa Rais hakua mgombea mwenza niliye mpigia kura, jamani hizi pesa za ziara za MAMA SALMA zingetumika kwa mabo mengine ya maendeleo tu.
 
Acheni ulofa, itafika mahali mtaenda hadi kwenye mapipa ya taka Ikulu kujua Mhe. rais amekula nini...
Actually hiyo pia ni haki yetu kujua kama wapiga kura wake.... kwikwikwi... utashangaa ni kwa jinsi gani garbage ya US president inavyolindwa.. it says alot about a person!
 
lakini Kitu ambacho sikielewi si tu Rais wa Jamuhuri anatumia nini, ila mke wa Rais, Ziara zake anagharimiwa na Mumewe au Hazina ya Taifa ? maana anazunguka nnchi nzima, akihubiri mambo yasio eleweka, mimi nashangaa sana. nnci hii ni masikini , naamini mke wa Rais hakua mgombea mwenza niliye mpigia kura, jamani hizi pesa za ziara za MAMA SALMA zingetumika kwa mabo mengine ya maendeleo tu.

Hazina Papa ndo inafinance kila kitu thats for sure.unles kama amealikwa na sehemu hiyo labda shule au kiwanda au ofisi au anything ndo watagharamia kila kitu lakini kama ameenda kivyake bila mialiko kuangalia maendelo ni HAZINA ndo inawezesha...........our taxes that we pay
 
uwiiiiiiiiiii, whaaaaaaaaaaaaaat????? Did u said hazina? Mie nimechoka sasa, inasikitisha, inakatisha tamaa . . . . .
Tukiendelea hivi hata raisi wa awamu ya 5 au 6 pengine watoto wake nao wakawa na fund kutoka hazina! Who knows, may be hata Ridhwani na January nao wanapat funds kutoka hazina
 
Back
Top Bottom