Mh! Hivi hawa watu wanapata wapi data zao!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh! Hivi hawa watu wanapata wapi data zao!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Oct 29, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,396
  Trophy Points: 280
  US showers JK with praise on governance

  By Angel Navuri


  [​IMG]

  President Jakaya Kikwete  The United States has commended President Jakaya Kikwete for playing a pivotal role in setting up efficient governance structures capable of fostering a more competitive investment climate in Tanzania.

  The commendation comes from Larry André, Chargé d'Affaires at the American Embassy in Dar es Salaam. He made the remarks at a reception he hosted in the city on Tuesday evening for the 200-plus delegates to the ongoing six-day African Diaspora Heritage Trail (ADHT) conference.

  He said the forum had come at an especially opportune time when the relations between Africa and Africans in the Diaspora were robust, largely thanks to the good work of various organisations and outreach efforts by successful African governments like Tanzania.

  "In President Kikwete and his cabinet, we have partners who are taking action to establish efficient, transparent governance that fosters an increasingly competitive investment climate here in Tanzania," noted André.

  He also commended the ADHT organisers and the Tanzanian government "for their admirable work to bring Africans and persons of African descent together to preserve the heritage of this important chapter in human history so that it could be known and personally experienced by generations to come".

  "There is much to celebrate in the cultural achievements of Africans and of people of African descent around the world. Celebrating, sustaining and further developing ties between Africa and communities of African descent benefits us all," he stated, adding: "As an American, I consider myself to have an African cultural heritage."

  André also noted that Americans of African descent account for about 13 per cent of all US population.

  Meanwhile, Bermuda Culture minister Naletha Butterfied said that it was cause for an emotional feeling seeing that the Tanzanian government had allowed the conference to meet in the country.

  "We thank the Tanzanian government for its cooperation and allowing us to have the conference held here," she noted, adding that the forum served as an opportunity to exchange ideas and be more knowledgeable on the origins of Africans and people of African ancestry.

  President Kikwete officially opened the conference on Monday with a call on the African Diaspora to act as ambassadors wherever they are to help boost the continent's economic development through the promotion of cultural heritages and historical sites.

  He also challenged African countries to transform their heritage and historical sites into tourist destinations for sustainable economic development of the people, who are reeling in poverty.

  The conference has discussed various issues relating to African heritage and set a way towards improving social, cultural, economic and other links among African countries and the African Diaspora.

  ADHT is a private, non-profit, tax-exempt, transnational heritage tourism initiative launched in conjunction with the government of Bermuda in 2001.

  The Dar es Salaam conference has brought together over 200 delegates from 22 African, Caribbean, North American and Middle Eastern countries.


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Wanajua wenyewe wanachokipata kutokana na the so called Competitive Investment opportunities in Tanzania.

  Hawatasema kama hizo fursa ni 'fair' kiasi gani kwa Mtanzania wa kawaida. Hayo huwa hayasemwi kwenye public.

  Ukila na kipofu, usimshike mkono!
   
 3. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dooooooooooo!!!!!!!!!!!!!
  Tumekwisha!!!!!
  Jamaa wanadanganya hao ili waipate uranium!!!
  Inamaana huu uozo hauonekani isipokuwa tunauona sisi hapa JF tu??????
   
 4. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hapa umesema kweli Nd.Kaizer!
   
 5. I

  Idans Member

  #5
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimkabidhi paka akulelee panya kwa tabasamu lake
   
 6. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi sioni vibaya raisi wa Tanzania kusifiwa!. Naomba tusiwe too negative kwa kila kitu kwani watu wakimsifia raisi si yeye pekee bali ni Watanzania wote kwa ujumla. Hawansifii JK pekee bali Raisi wa Tanzania. Mimi ningetaka tuweke nguvu zetu kupinga na kujenga sera za kusaidia nchi badala na kusubiri ni wapi kumpiga madongo raisi kwani haitasaidia nchi.
   
 7. I

  Idans Member

  #7
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika dunia hii iliyotawaliwa na mfumo onevu wa kibepari tuwe makini sana ktk mahusiano yetu na nchi za magharibi kwani ziko tayari kulazimisha mahusiano hata kwa ku recommend positive ili watunase.......loook very(angalia sn)
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wizi mtupu
   
 9. R

  Ronaldinho Member

  #9
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  They don't care abt u,mkuu what they care is what we have!!!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu cha maana anachofanya..wanasifia utumbo tu
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unajua haya ndio mambo yanayo kera ukiyasoma, na ni matatizo ambayo inabidi yashughulikiwe na wahusika kama wapo?

  Si tarajii hao TAKUKURU kuchunguza mikataba hii ilipatikana vipi kwa sababu wahusika awata wapa hiyo chance. Ndio maana wengine tunapigia debe wanayofanyiwa hao wabunge, wenzao awaongei tu bali wanatenda wanapotaka lao its obvious what is the motive kwenye kuwahoji hao wabunge.

  Lakini sasa na hawa wapinzani, sijui wapiganaji inabidi waje na nguvu za kweli vita vita kama wenzao wanavyofanya.

  We ulipi ushuru mshahara wafanyakazi unawalipa mshahara wa kitanzania wataacha kweli kumlamba kisogo JK. Non profit kwa hivyo inajiendesheje?

  Lazima tuelewe ukweli wa mambo wengi humu atuna sauti za kuwatisha mafisadi wakubwa, lakini wabunge chance hizi wanazo awazitumi. Ni bora waelewe dawa ya moto ni moto.
   
 12. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Unajua unachokiongea lakini? Unawajua Wamarekani lakini wewe? They dont have a permanent friend. They befriend you when they use you. Wana ajenda yao, wanajua wanachokipata. Akiwageuka tu jamaa wanaye....
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwanza angalia nani kaandika (Guardian) angalia habari ilivyokuwa blown out of proportions halafu angalia huyo aliyesema ana gravita gani katika foreign policy ya Marekani.

  Haya maneno mengine ni diplo-speak tu, halafu Guardian wana equate ""In President Kikwete and his cabinet, we have partners who are taking action to establish efficient, transparent governance that fosters an increasingly competitive investment climate here in Tanzania," na showers of praise, wengine wangeona Kikwete kama kweli he is all that jamaa kwa kusema "he is taking action to establish" anamdiss.

  Wamarekani wana interests zao wanazozijua wenyewe, na kusifiwa nao haina maana yoyote.Why, at the height of the cold war President Nixon -president of the USA for goodnes' sake, not some Chargé d'Affaires - alimshower Mobutu na more praises kwamba ana champion uhuru na demokrasia and some fiction like that huko Zaire, hii ni baada ya Mobutu kuua watu kibao.

  Sema lingine, hawa Wamarekani si ni wao wao walimwambia Kikwete kama anamtaka Balali wanaweza kumsaidia kumrudisha bongo, mbona hakuchangamkia offer ile.Hawa wanamjua Kikwete vizuri, sema wanajua ni zezeta anayependa sifa, na sasa hivi cold war ishaanza upya all over again hawataki aende kwa wachina kama Mugabe, ndiyo maana wanambembeleza bembeleza.Ukichanganya na ukweli kwamba Tanzania kuna ki relative peace na kiuhuru cha kujieleza mshenzi ndiyo kabisaaa wanapata sababu ya kuspin mineno yao iso haya.
   
 14. m

  mtangi Member

  #14
  Oct 29, 2009
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  data wanazo ndugu yangu, wanajifanya yanayotokea hawayaoni, wao si wanashida zao, wanatengeneza mazingira ya kuchota tulivyovikalia. Wanajua how much they can benefit from us.
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kamudu utasikilizwa ? Nakubaliana nawe lakini je utasikilizwa ? Sasa watafanya lolote na recommendation itatumika kama kauli mbiu ya CCM na uchaguzi mwaka 2010. Siku anahutubia Taifa utamsikia anasema hata US wanamkubali nyie mnamkataa hahahaha tumeisha ndilo neno sahihi. Hata ukiseam usaidia hawatakusikiliza kama usemayo hayata beba maslahi ndani tena maslahi binafsi
   
 16. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #16
  Oct 30, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Njia nzuri ya kumuiba mjinga msifie
   
 17. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  kaka hapo kwenye red umenifurahisha sana
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  BAK,

  Waswahili wanasema kupeana ni kikoa au nikune nikukune!

  Sasa waache kumfagili akuwa anafanya kazi vizuri wakose nafasi ya bure kuendelea kutuvunjia bikira ya maliasili yetu?

  Si ushasikia tuna Mafuta, Uranium na Dhahabu tele kule Singida, je ili wajilete kwa ulaini unafikiri watadai kuwa tunahitaji kuwajibika?
   
 19. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizo si sifa bali ni kebehi. Hawa wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili waendelee kutuibia. Nani asiyejua kuwa nchi inakwenda kombo au kwa kuwa USA na UK wamemsifia JK? Tuachane na kasumba ya kukubali kila kitu kisemwacho na nchi za magharibi bila ya kutafakari.
   
Loading...