saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo kujifunza