Mtazamo wa Tanzania kuhusu Nuclear

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,802
1,860
Wiki mbili zilizopita, nilishauri Serikali ya Tanzania iiunge mkono Iran katika mpango wake wa Nuclear kwa matumizi ya amani. Vile vile nilipenda kuishawishi Tanzania iwe na mpango wa kuwa na Nuclear kwa matumizi ya umeme.

Leo nilipo google nilikutana na habari njema, ambazo napenda kuuletea umma wa JF ili waelewe msimamo wa nchi yao juu ya mpango wa nuclear kwa matumizi ya amani. Hii ni hatua moja katika maendeleo katika melanium.

Tanzania supports Iran on nuclear programme

2007-11-30 08:58:54
By Pastory Nguvu

The Government yesterday expressed its full support for Iran`s peaceful use of nuclear energy.

The stand was part of the gist of remarks by Vice President Ali Mohamed Shein when he met journalists at the Mwalimu Nyerere International Airport in Dar es Salaam upon his return from a ten-day tour in Iran and Egypt.

Dr Shein was responding to a journalist who had wanted to know Tanzania�s position on Iran`s highly contested nuclear programme.

The West, led by United States, opposes the Gulf state`s nuclear enrichment plan on fears that Iran might use the energy in the production of nuclear weapons.

However, Iranian President Mahmoud Ahmedinejad has repeatedly stated that the energy was meant solely for generating power and other peaceful means.

`Our position is that we as a country support the use of Iran`s nuclear power project for peaceful purposes just as we had earlier agreed in Cuba,` stated the Vice President.

But he was emphatic that there was no way Tanzania would support the project if it is to be used for the manufacture of weapons because that carried the risk of leading to war.

  • SOURCE: Guardian
 
tatizo ukiwa na rais anayeamini dini ya waarabu, basi hata waarabu wakisema uchafu wa jalalani ni chakula, mtalazimishwa tu kula. kufuata iran, ni kufuata laana. iran is against israel and it wants to wipe israel off the map. we as christians will never support that hata kama rais wetu wa Bagamoyo atasapoti, ni yeye na familia yake. sisi wengine tutaendelea kuiombea israel, tena ichukue na ardhi nyingine kubwa zaidi, kwasababu ni yao, Mungu aliwapa. atakaye ilaani israel atalaaniwa na Mungu, atakaye ibariki israel atabarikiwa na Mungu, atakaye pambana na israel atapambana na Mungu, kiriburi cha iran, Russia their supporter na misri kitamalizwa na Mungu mwenyewe, sisi wengine hata tusiumie moyo. Nenda kasome EZEKIEL 38 na 39, utaona jinsi vita iliyoko mbele yetu, ambayo iran na urusi (gogu na magogu) na mataifa ya waarabu watashiriki, Mungu Mwenyewe ataionyesha dunia kuwa yeye hajaitupa israel bado. Mungu ibariki Israel, Mungu wabariki wayahudi wote duniani. amina.
 
UDINI....! Samahani huko siko. No coment!

Tuendelee na maada.
 
Tanzania ikiunga mkono Iran kuwa na nuclear, itatufanya tunyimwe kutumia kuzalisha nishati kwa kutumia nuclear kwa kuwa tu tuliwaunga mkono Iran. tukae kimya tutakapo kuwa tayari kufanya hivyo tutakubaliwa
 
Wiki mbili zilizopita, nilishauri Serikali ya Tanzania iiunge mkono Iran katika mpango wake wa Nuclear kwa matumizi ya amani. Vile vile nilipenda kuishawishi Tanzania iwe na mpango wa kuwa na Nuclear kwa matumizi ya umeme.

Ukiwa kama mshauri (wa serikali presumably), serikali iliitikia vipi ushauri wako?!
 
Shein aliongea tu ili kumridhisha mgeni wake. Tanzania ni nini bwana? Hiki si kijiji tu, kisicho na lolote? Maji safi na salama kwa asilimia zaidi ya 70 hakuna, halafu utegemee kunyanyua pua!? Waache waseme chochote, RUKHSA!
 
It is madness to support Iran nuclear programme because their intentions are not good. Their intention are first to be the regional power in the middle east militarily, second to be able to push forward their sect (Shia), and third which could be the most obvious reason is to deal with Israel.
I personally have no problem if Tanzania will have its plans to acquire nuclear technology for civilian use. Nuclear technology could be the solution to our current power problem. Kenya last week reached agreements with France to develop electricity from nuclear power. Soon we might witness the first nuclear in East Africa.

Why should we follow the route of War Monger Iran while we can follow instead of using an example from our neighbor and get a clean nuclear deal in a peaceful, responsible,respectable and transparent manner.

Therefore, there is nothing wrong with us utilizing nuclear technology but it is absolutely madness to support Iran's course because it has hidden agendas.
 
It is madness to support Iran nuclear programme because their intentions are not good. Their intention are first to be the regional power in the middle east militarily, second to be able to push forward their sect (Shia), and third which could be the most obvious reason is to deal with Israel.
I personally have not problem if Tanzania will have its plans to acquire nuclear technology for civilian use. Nuclear technology could be the solution to our current power problem. Kenya last week reached agreements with France to develop electricity from nuclear power. Soon we might witness the first nuclear in East Africa.

Therefore, there is nothing wrong with us utilizing nuclear technology but it is absolutely madness to support Iran’s course because it has hidden agendas.

With the huge reserve of uranium in Africa, Tanzania could develop nuclear power. The only scarely thing is the way we handle with mockery even serious practical issues. Nuclear energy could be very reliable. However, from handling the technology to disposing the waste, we would need to live and behave diligently.
Am not objecting this idea but I would rather think of developing coal power plants in the mean time. The nuclear power plants need serious people who know what they do. Tusije tukaleta balaa kwa kushindwa kumanage kama tunavyofanya kwa TRL.The consequences could be catastrophic and a bitter pill to swallow.
 
Unaweza kuwa sahihi. lakini ni lazima tufahamu kuwa wenzetu wanaendelea na mpango huo. Kwa hiyo pengine ni vyema kujiimarisha katika maeneo tulio wadhaifu na sio kusema kuwa tuukatae mpango mzima wa Nuclear. Angalia wenzetu walivyopiga hatua.
IAEA to support Kenya in exploiting nuclear energy

  • Source: Xinhua
  • [11:22 July 27 2009
The International Atomic Energy Agency (IAEA) is willing to support Kenya in exploiting nuclear power as a source of energy.
A statement from the presidency received here Friday said the International Atomic Agency Director General Mohammed El Baradei noted that in order for Kenya to achieve rapid industrialization there is need to add nuclear energy in its current energy mix.
"Kenya might have other sources of energy but in order to industrialize faster there is need for nuclear energy," Baradei said during a meeting with President Mwai Kibaki late Thursday.

The IAEA Director General assured President Kibaki that his agency is willing to provide personnel to train Kenyans on the appropriate use of nuclear technology.
Speaking during the meeting, President Kibaki said Kenya appreciates the enormous support it has been receiving from the International Atomic Energy Agency in the field of agriculture, livestock development, health, water resources and energy planning.

The President commended the IAEA Director General and his agency for the role they have played in the development and transfer of nuclear science technologies and applications.
 
Ukiwa kama mshauri (wa serikali presumably), serikali iliitikia vipi ushauri wako?!
Nadhani watanisikiliza kwa kutazama jirani Kenya wanvyofanya. Kwa vile tuna kila sababu za kufanya hivyo kipindi hiki cha utandawazi.

Hebu wasikilize wenzetu wanavyosema:

Nuclear plant best option for Kenya power woes

Published on 05/10/2009
Related Stories

Nuclear power plant on the way, says Raila[URL="http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=1144027112&cid=159&"]

[/URL]
By John Oyuke
Kenya seems set for a significant expansion in the use of nuclear power to provide energy, feed the hungry and heal the sick.
This follows re-election of a Kenyan to join the board of the International Atomic Energy Agency (IAEA), after an absence of 26 years.
Kenya has also given a formal notification to the agency of its interest to introduce the technology.
Vice-President Kalonzo Musyoka said the country is adjusting its priorities to focus more on nuclear power and is seeking IAEA’s help to develop a national science and technology infrastructure.
The country has submitted a draft Country Programme Framework (CPF) for the period 2011 to 2016 to the Agency for comments.
Musyoka said the programme has addressed priorities set out in the Vision 2030 economic blue print including development, research, production and use of atomic energy for peaceful purposes.

1.Zawadi kati ya umeme wa Coal na wa Nuclear upi ambao unafikiri ni rahisi kwa serikali ya Tanzania kuanzisha

2.Je kuna deposit ya nuclear kiasi gani nchi hii ukilingansiha na Coal?

3. Kipi kati ya nuclear na Coal, ambacho unafikiri wawekezaji wa ndani watapatikana kirahisi, wataalamu wa ndani , na mnacho tunaweza kutengeneza ajira kwa wingi

Je katika historia ya Iran unafikiri kweli kabisa nuclear yao ni for civilian uses?? thibitisha
 
Sisi tukae kimya tu tuache wakubwa waseme....tumeshindwa kutumia gesi tunawazia nuclear??.....bora tunywe chibuku tu.
 
It is madness to support Iran nuclear programme because their intentions are not good. Their intention are first to be the regional power in the middle east militarily, second to be able to push forward their sect (Shia), and third which could be the most obvious reason is to deal with Israel.
I personally have no problem if Tanzania will have its plans to acquire nuclear technology for civilian use. Nuclear technology could be the solution to our current power problem. Kenya last week reached agreements with France to develop electricity from nuclear power. Soon we might witness the first nuclear in East Africa.

Why should we follow the route of War Monger Iran while we can follow instead of using an example from our neighbor and get a clean nuclear deal in a peaceful, responsible,respectable and transparent manner.

Therefore, there is nothing wrong with us utilizing nuclear technology but it is absolutely madness to support Iran’s course because it has hidden agendas.
Kenya’s Deputy Speaker says Kenya supports Iran’s nuclear ambitions

By kenyanobserver • on December 29, 2008

The deputy speaker of the Kenyan parliament, Farah Maalim, met with his counterpart and Iran’s foreign minister in Tehran and pledged stronger ties between the two countries. Maalim also said that Kenya supports Iran’s nuclear “rights”

Hapa ni lazima tujiulize ni kwanini wenzetu wanafanya hivyo. Hivi ni kwa sababu tu ya kuweka pua huko.

Wengi wanasema, tutaleta mkorogano na wakubwa. Hivi sisi ni rafiki sana wa wakubwa kuliko Kenya. Hapa si swala la wakubwa, bali ni swala la haki yetu chini ya International nuclear convention agency, ambapo imeelezwa wazi kuwa Nuclear kwa matumizi ya amani ni Ruksa.

Na ndio maana nimesema tuiunge mkono Iran kwa nia ya kuwavunja nguvu hao wakubwa ambao wameandika sheria wasizotaka kuzifuata.

Wanyonge tukiungana ndio tutawashinda wakubwa. Wakati ni huu!!
 
1.Zawadi kati ya umeme wa Coal na wa Nuclear upi ambao unafikiri ni rahisi kwa serikali ya Tanzania kuanzisha

2.Je kuna deposit ya nuclear kiasi gani nchi hii ukilingansiha na Coal?

3. Kipi kati ya nuclear na Coal, ambacho unafikiri wawekezaji wa ndani watapatikana kirahisi, wataalamu wa ndani , na mnacho tunaweza kutengeneza ajira kwa wingi

Je katika historia ya Iran unafikiri kweli kabisa nuclear yao ni for civilian uses?? thibitisha
Katika large scale, umeme wa nuclear ni rahisi na wa kudumu. Umeme wa Nuclear haudanganyi. Gharama zake za awali (initial cost) ni kubwa, lakini ukitulia umetulia na unajilipa kwa haraka sana.

Deposit ya uranium tunayo huko mbeya. Nchi hii ina uranium nyingi sana yenye kututosheleza kwa vinu vyote tutakavyo. Sijui ni kipi kingi kati ya Coal na Nuclear, ila ninachojua vyote tunavyo.

Kwanza napenda kusema kuwa kwa upande wangu katika miradi mikubwa kama hiyo, ni ruksa kwa wawekezaji wa nje kuja kuwekeza. Uwezo wa muwekezaji ni mtaji wake, ni kweli kabisa ukiwapa wawekezaji wa ndani mradi kama huo ndio mnaishia kuiacha mitambo ilete athari za mazingira na kulaumiana kwingi. Hilo kwangu si tatizo kabisa, nitachoangalia ni kuwepo kwa umeme. Sijui Ngosha au Smith ndio mmiliki haina maana kwangu.

Wataalaam wako Rusia, Iran, Pakistan, India hata Ufaransa. Lazima tukubali kama tunapeleka wahandisi, madaktari na fani nyingi nyingine huko nje kwanini tusianzie na wataalam wao. Hata Iran wamesaidiwa na warusi, wafaransa na wajerumani kujenga Nuclear yao sembuse sisi. Ndio maana nimetanguliza kuwa tujikombe kidogo huko, ili nasi tufaidike.

Nuclear itatengeneza ajira kwa wingi sana. Ni muhimu uelewe kuwa maendeleo ya umeme ndio yaliyoongeza ajira katika nchi zilizoendelea. Ukiwa na umeme kwa asilimia 80 ya wananchi wako basi jua na idadi ya voiwanda vikubwa na vidogo vidogo itaongezeka na ndio kuongezeka kwa ajira.

Aminini nawaambia umeme ukijitosheleza Tanzania basi tutazungumza kuwa kila mtanzania atakuwa na uhakika wa kupata Dola $5 kwa siku hata kijijini. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.
 
Wairan wana m bankroll Kikwete, Kikwete ana wa support kwenye nuclear.

At the same time Kikwete ana court support ya USA, anataka kuchikichia kutoka huku na kule.

Ila nuclear noma, Iran anataka kuitumia kijeshi, na matokeo yake yatakuwa si mazuri.Hizi tamaa zetu zitatuponza.
 
who cares if iran gets nuclear weapons,anyway the long awaited ARMAGEDDON is upon us,the earth will cease to exist and that will be the end of humankind,lets just pray before we go
 
Ukiwa kama mshauri (wa serikali presumably), serikali iliitikia vipi ushauri wako?!
Don't presume mwenziyo ni mshauri wa mkulu wa nji tangu siku nyingi.

With the huge reserve of uranium in Africa, Tanzania could develop nuclear power. The only scarely thing is the way we handle with mockery even serious practical issues. Nuclear energy could be very reliable. However, from handling the technology to disposing the waste, we would need to live and behave diligently.
Am not objecting this idea but I would rather think of developing coal power plants in the mean time. The nuclear power plants need serious people who know what they do. Tusije tukaleta balaa kwa kushindwa kumanage kama tunavyofanya kwa TRL.The consequences could be catastrophic and a bitter pill to swallow.

I couldn't agree more with you. Wakenya wakisema WTZ kiswahili mrefuu tunasema wanatutukana. Hivi mtoto anawezaje kutembea kabla ya kutambaa? Nuklia siyo kama kuweka betri kwenye kurunzi tayari inawaka. Miradi modogo tu kama mabasi yaendayo kasi (Rapid Transit) na ule Mkulu wa nchi alilewa halua akadai flyovers, imewashinda mnakuja na ndoto za nuklia! Are you serious?

Katika large scale, umeme wa nuclear ni rahisi na wa kudumu. Umeme wa Nuclear haudanganyi. Gharama zake za awali (initial cost) ni kubwa, lakini ukitulia umetulia na unajilipa kwa haraka sana.

Deposit ya uranium tunayo huko mbeya. Nchi hii ina uranium nyingi sana yenye kututosheleza kwa vinu vyote tutakavyo. Sijui ni kipi kingi kati ya Coal na Nuclear, ila ninachojua vyote tunavyo.

Kwanza napenda kusema kuwa kwa upande wangu katika miradi mikubwa kama hiyo, ni ruksa kwa wawekezaji wa nje kuja kuwekeza. Uwezo wa muwekezaji ni mtaji wake, ni kweli kabisa ukiwapa wawekezaji wa ndani mradi kama huo ndio mnaishia kuiacha mitambo ilete athari za mazingira na kulaumiana kwingi. Hilo kwangu si tatizo kabisa, nitachoangalia ni kuwepo kwa umeme. Sijui Ngosha au Smith ndio mmiliki haina maana kwangu.

Wataalaam wako Rusia, Iran, Pakistan, India hata Ufaransa. Lazima tukubali kama tunapeleka wahandisi, madaktari na fani nyingi nyingine huko nje kwanini tusianzie na wataalam wao. Hata Iran wamesaidiwa na warusi, wafaransa na wajerumani kujenga Nuclear yao sembuse sisi. Ndio maana nimetanguliza kuwa tujikombe kidogo huko, ili nasi tufaidike.

Nuclear itatengeneza ajira kwa wingi sana. Ni muhimu uelewe kuwa maendeleo ya umeme ndio yaliyoongeza ajira katika nchi zilizoendelea. Ukiwa na umeme kwa asilimia 80 ya wananchi wako basi jua na idadi ya voiwanda vikubwa na vidogo vidogo itaongezeka na ndio kuongezeka kwa ajira.

Aminini nawaambia umeme ukijitosheleza Tanzania basi tutazungumza kuwa kila mtanzania atakuwa na uhakika wa kupata Dola $5 kwa siku hata kijijini. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.

Mengine kidogo umejenga hoja ulipokoroga ni hapo pa kudhani the so called mwekezaji atajali hatima ya Wadanganyika. It is up to you to put the kitchen in order. Wadanganyika ni wagumu kujifunza, huko Tarime watu na mifugo wanakufa kwa maji ya sumu, kwa mawazo yako kama yako kuwa mwekezaji ndio suluhisho fikiria mara mbili. Pia nchi ngapi duniani zina umeme wa uhakika lakini siyo kila raia ana uhakika wa kutengeneza hizo $5?
 
Don't presume mwenziyo ni mshauri wa mkulu wa nji tangu siku nyingi.

I couldn't agree more with you. Wakenya wakisema WTZ kiswahili mrefuu tunasema wanatutukana. Hivi mtoto anawezaje kutembea kabla ya kutambaa? Nuklia siyo kama kuweka betri kwenye kurunzi tayari inawaka. Miradi modogo tu kama mabasi yaendayo kasi (Rapid Transit) na ule Mkulu wa nchi alilewa halua akadai flyovers, imewashinda mnakuja na ndoto za nuklia! Are you serious?

Mengine kidogo umejenga hoja ulipokoroga ni hapo pa kudhani the so called mwekezaji atajali hatima ya Wadanganyika. It is up to you to put the kitchen in order. Wadanganyika ni wagumu kujifunza, huko Tarime watu na mifugo wanakufa kwa maji ya sumu, kwa mawazo yako kama yako kuwa mwekezaji ndio suluhisho fikiria mara mbili. Pia nchi ngapi duniani zina umeme wa uhakika lakini siyo kila raia ana uhakika wa kutengeneza hizo $5?

Unajua sikutaka kuandika kiswahili mrefu kwenye hili. Lakini ninachotaka kusema ni kwamba hata muwekezaji akija, policy kuu za msingi katika kila nchi huwekwa wazi na serikali. Hapa nikimaanisha kuwa lazima kuwe na sheria za nchi ambazo lazima azifuate, hii ikiwa ni pamoja na mazingira, haki za raia, ulipaji wa kodi n.k.

Nilipoandika hivyo kujibu swali la mtoa hoja, na jibu langu lilizingatia uwezo wa fedha na si vinginevyo. By the way, watanzania ni lazima tufahamu kuwa awe mzalendo au muwekezaji toka nje ni lazima alindwe na taasisi husika, vinginevyo wote wataharibu.

Hii ni sawa na kujidanganya kuwa akwepaye kodi bandarini ni mgeni tu na mzalendo hulipa hata kama akiambiwa toa rushwa 1M utoe mzigo wako, na uepukane na kutoa kodi ya 10M. Tusijidanganye! Ni sheria tu ndio zinazomnyosha muwekezaji. Matundu ya sheria zetu ndio yanayowapa wao kutula.
 
Back
Top Bottom