Uzembe wa CCM Tabora Mjini wapoteza Mitaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe wa CCM Tabora Mjini wapoteza Mitaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-bongo, Oct 27, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ikiwa ni Ishara tosha kuwa katika uchaguzi mkuu ujao CCM Tabora Mjini itapoteza viti vingi vya Udiwani kama mtendaji wa CCM tabora Mjini na Timu yake hawatawajibishwa! hadi Uchaguzi unafanyika hakuna semina yeyote kwa viongozi wala mawakala hivyo kuingia kwenye uchaguzi kwa kubahatisha. matokeo yameonyesha kuwa viti vingi vya Mitaa vilivyokuwa vikishikiliwa na CCm vimekwenda CUF, TLP na UDP kwa idadi kubwa tofauti na miaka ya nyuma. viongozi wa CCM Mkoa na Taifa fanyeni hima ili kurekebisha hali ya ya kisiasa tabora MJINi vinginevyo hali ni mbaya Mno, Katibu Mwenezi wa CCM mkoa Tabora ambaye pia ni diwani kata yake ina idadi kubwa ya viti vya mitaa vilivyochukuliwa na vyama vya siasa tofauti na CCM kwa maana CCM 5 upinzani 6, Mkiti wa CCM Mkoa wa tabora anaongozwa na CUF aibu!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  That is the BEST news to me since!

  Ni habari njema kama sisiemu wamelala, maana hawakuanza leo uzembe...
  Doroo...dorooo wanangu, usingizi mtamu bado.
  Wapinzani chemkeni mulifutilie mbali JINAMIZI hili baradhuli!
   
 3. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana,na waendelee kulala tu,mpaka hapo mwana wa Adamu atakaporudi.
   
 4. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona hii ni habari njema sana wengine tunasikia kama muziki. Bwana M-Bogo nothing is permanent except change! Tunataka mabadiliko sio watu walewale, siasa ile ile na uongozi ule ule!
   
 5. M

  Mvutakamba Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Tabora is very close na Mirembe nadhani M-Bongo ukaangaliwe akili . Habari njema wewe unasemaje ? Uache kututania kabisa . CCM wanatakiwa waondoke na si wala kurekebisha . Wakirebisha means wanaiba kura na kutumia FFU kwa malipo ya shilingi 5 kwa siku .
   
 6. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Watanzania tunapaswa kubadilika, hasa ki-mtazamo na kifikra.

  Tunapaswa, na pia tuna wajibu wa KUIPENDA NCHI, SIYO KUPENDA VYAMA.

  Nawapongeza wana-Tabora kwa kuchagua viongozi waliowataka, na siyo kuangalia vyama.

  Hii ya Tabora ni habari njema, na imetokea sehemu nyingi tu.

  M-bongo, sababu ya CCM kupoteza viti si uzembe kama unavyotaka watu wafikiri, ila ni kwamba wananchi sasa wanaendelea kutambua kuwa wanapaswa kuchagua viongozi wanaowafaa pasipo kuangalia vyama vya siasa.

  Watanzania, pamoja na mizengwe mingi, tunaweza kubadilisha uongozi wa nchi kwa kura. TUPIGE KURA.
   
 7. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  M-bongo, nina wasi wasi na nia yako. Ni wazi kwamba:
  1) Wewew ni mwanachama wa CCM
  2) Ni adui wa kiongozi aliyepo sasa unayetaka awajibishwe
  3) Una mawazo mgando kwamba CCM tu ndiyo chama chenye kutakiwa kuongoza
  4) Wewe ni mjumbe kwenye vikao vya CCM Tabora, na ambaye umezoea kupewa fedha kwa semina za udhalimu ambazo mmekuwa mkipeana kwa njia ya takrima
  5) Umeingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi, kama kikaragosi wa wakubwa ili upate chochote ( mchumia tumbo)

  SASA, ushauri wa bure ni kwamba uache huo ujinga, fanya kazi na watu waliochaguliwa kihalali, si wale waliopita kwa kupika matokeo. Usiangalie sana tumbo lako, watoto wako ndio watakao pata shida pale ambapo udhalimu mnaoendekeza CCM, utafikia mahali mkauza nchi kwa mafia RA na timu yake
  TAFAKARI
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  una maanisha nini kusema UZEMBE WA SISIEM?
  wabongo bana ndio mana ngabu anatutukana kila siku.yani wananchi wakijua kuchagua lililo jema,MNAKUJA NA TRACK MPYAAAAAA...........uzembe wa ccm
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Homeboy, Safi sana hii habari. Wanyamwezi wangu kidogo kidogo wameanza kuamka. Hizi ahadi hewa .... my A**.
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  You have said it. M-bongo hii taarifa umeileta pasipopake. hapa hakuna wakumbatia vyama, kuna wakumbatia haki na uongozi bora. Tunahitaji viongozi bora, sera tunazo nzuri sana tu, tusichkuwa nacho ni uongozi bora na thabiti. Hureee wana Tabora. Magomeni nasikia CUF wamechukua viti vitatu na CCM moja. Huree wana Magomeni...
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ni aibu kwa M'kiti wa CCM Mkoa kuongozwa na vyama uchwara vya upinzani...
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  amka ndugu yangu, sio uzembe, but its a wind of change and people running out of options, read the writting on the wall
   
 13. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I only wanted the message to be sent and delivered to my fellows in this way and I thank lord for this
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280


  Kwa mazingira yaliyopo ni kama haiwezekani kuchagua viongozi bila kuangalia vyama vyao, kwanza kila mgombea anasimamishwa na chama chake na atakapo chaguliwa atatekeleza ilani ya chama chake, sasa hata ukiwa na mgombea mzuri lakini atatekeleza sera zinazotokana na ilani mbovu ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Hivi nini kinatangulia fikra au uzoefu?(na maana hizi fikra za watanzania za kuchagua vyama badala ya wagombea zimezaliwa na haya mazingira ya kuwa na wagombea wanaofanya kazi kwa kufuata matakwa ya wagombea) unajua hata nyerere mwenyewe aliwahi kukiri kuwa kosa kubwa katika demokrasia nji hii imewahi kufanya ni kuzuia wagombea binafsi.
   
 15. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Aibu gani we m-bongo...kwani cuf, udp na tlp sio watanzania? Kila mtu ana haki yakumchagua kiongozi anaye mwona anafaa sasa aibu iko wapi.....  Tanzania will never develop under ccm
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha aibu wala nini! Watu wamechoshwa na li- CCM bwana.... Hongereni vyama pinzani.... Huko Mara umepata habari zozote..?
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  kwani matokeo ya uchaguzi huko tabora mjini upinzani umeshinda?
   
 18. P

  Papa Sam Senior Member

  #18
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asanteni wanatabora.
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  utulivu haupo hapa......hatuna mwana jf
   
 20. Robweme

  Robweme Senior Member

  #20
  Oct 27, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  BRYASEL,hivi uraisi mwakani 2010 mnafikiria kula tumpe nani,LIPUMBA,MREMA,ZITTO.Mbona kambi yote hamna mtu wa kutuongoza?,afadhali sisiemu waendelee kupata kula zao,au freemon mbowe,hakuna mtu wa kumpatia kura pale nawambia.
  Ombeni mtu atoke ccm aamie cha cha upinzani ndo tumpigie vinginvyo hakuna mtu wakupigia kura labda kama tunataka mabaraa matupu.
   
Loading...