Nimekuwa hapa Unguja toka Alhamisi. Nimekuta hakuna umeme na katika uliza uliza yangu nimeambiwa kuwa hakuna mategemeo ya kurejesha umeme hadi mwishoni mwa mwezi Februari. Inawezekana serikali...
Ndugu zangu naomba minieleweshe hasa matumizi ya neno hili kustaafu katika siasa zetu hizi za kimasikini, kwa nini kiongozi anaye ondoka madarakani kwa kashfa kabla ya kumaliza muda wake...
Rais Kikwete akiwa safarini kwenda Davos, alisimama LIbya na kukutana na Ghaddafi na kumpa shukrani kwa msaada uliotolewa na Libya kujenga nyumba kwa familia zilizoathirika kwa mafuriko.
Katika...
Wakuu, habari!
Ni wazi kuwa baadhi yetu humu jamvini tumeonesha ama tuna nia ya kugombea ama Ubunge au Udiwani na nafasi nyinginezo na wengine bado tunatafakari kama tugombee ama la. Wengi wetu...
Waziri Simba: Tupo makini, tutawashughulikia
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Sophia Simba, amesema, si kweli kuwa Serikali inachelewa kutoa uamuzi au haitoi uamuzi sahihi kuhusu...
Baada ya kutafakari kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi kwenye ka- Nchi ketu haka maskini sana ulimwenguni (wa mipango) nimeona haya mambo ni muhimu sana kuhusiana na uchaguzi huo. Itikadi, Sera...
NAIBU Gavana wa Benki Kuu (BoT), Juma Reli (54), ameshindwa kuithibitishia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuhusu hasara iliyopatikana katika mradi wa ujenzi wa minara pacha kwa...
..kwa kweli hata mimi namuunga mkono Mh.Selelii ktk madai yake haya.
..haijalishi kama wa-Tanganyika wanataka kumiliki ardhi Zenj au la, sote tunapaswa kuwa sawa ndani ya Jamhuri ya Tanzania.
MP...
Mara nyingi sana tumeshuhudia vurugu na machafuko yaliyopoteza maisha ya watu wakiwepo watoto wagodo wasio na hatia katika nchi zetu hizi za Africa. Machafuko na vurugu hizo yanaambatana na mambo...
Rejea maoni yangu ya jana kuhusu hoja iliyoanzishwa na kishoka ya ama kuwa na uchaguzi mwakani au la. Binafsi, sikubaliani na wazo la Mbowe kugombea ubunge huko Hai. Huyu ndiye aliyekuwa mgombea...
Wakuu,
Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:
1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.
2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini...
Mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela, amevunja ukimya na kutangaza kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake.
Alisema hayo jana...
Ngawaiya atangaza kumvaa Ndesamburo
Daniel Mjema, Moshi
BAADA ya kukaa nje kwa kipindi kimoja, mbunge wa zamani wa Moshi Vijijini, Thomas Ngawaiya sasa anataka kurudi tena bungeni, lakini...
Mojawapo ya hofu nilizonazo ni kuwa Kikwete hatimaye anaweza kuwa Gorbachev wetu. Yawezekana akaja na mawazo ya Perestroika anapotaka kugombea mara ya pili na watu wakakubali na matokeo yake...
Kwa wale wanaokumbuka tulianza sisi (watu wa TPN, JF, n.k) kuanzisha harambee ya kuchangia Chama cha Msalaba Mwekundu kufuatia mafuriko ya Kilosa na sehemu nyingine nchini tukiamini kuwa serikali...
Sitta na Lowassa wagongana tena
Source Raia Mwema Januari 27, 2010
Kamati ya Mwinyi yawashindwa
Ujasusi watumika kuwinda vigogo wa CCJ
KIWEWE cha kuanzishwa kwa Chama Cha Jamii (CCJ)...
SEPTEMBA 15 mwaka 2009 Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia duniani.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa lakini Tanzania ilisifiwa kuwa imekomaa kidemokrasia...
Leo Waziri husika amelitaarifu Bunge kwamba Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi utajadiliwa na kupitishwa katika mkutano wa bunge unaoendelea na tayari kanuni imeshatenguliwa kuruhusu...
7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month
By Dominic Nkolimwa; 25th January 2010
Muhimbili National Hospital
Health and Social Welfare ministry is set to handover the...
JF,
Wakati huo sikuwa nafuatilia sana mambo ya siasa, lakini kuna kipindi nikapata kujua kwa juu JUU kuwa kuna Group moja ndani ya bunge lilikuwa linadai tanganyika yetu - hili lilikuwa...