Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela, amevunja ukimya na kutangaza kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake. Alisema hayo jana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ngawaiya atangaza kumvaa Ndesamburo Daniel Mjema, Moshi BAADA ya kukaa nje kwa kipindi kimoja, mbunge wa zamani wa Moshi Vijijini, Thomas Ngawaiya sasa anataka kurudi tena bungeni, lakini...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mojawapo ya hofu nilizonazo ni kuwa Kikwete hatimaye anaweza kuwa Gorbachev wetu. Yawezekana akaja na mawazo ya Perestroika anapotaka kugombea mara ya pili na watu wakakubali na matokeo yake...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Kwa wale wanaokumbuka tulianza sisi (watu wa TPN, JF, n.k) kuanzisha harambee ya kuchangia Chama cha Msalaba Mwekundu kufuatia mafuriko ya Kilosa na sehemu nyingine nchini tukiamini kuwa serikali...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Sitta na Lowassa wagongana tena Source Raia Mwema Januari 27, 2010 Kamati ya Mwinyi yawashindwa Ujasusi watumika kuwinda vigogo wa CCJ KIWEWE cha kuanzishwa kwa Chama Cha Jamii (CCJ)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SEPTEMBA 15 mwaka 2009 Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia duniani. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa lakini Tanzania ilisifiwa kuwa imekomaa kidemokrasia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Waziri husika amelitaarifu Bunge kwamba Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi utajadiliwa na kupitishwa katika mkutano wa bunge unaoendelea na tayari kanuni imeshatenguliwa kuruhusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month By Dominic Nkolimwa; 25th January 2010 Muhimbili National Hospital Health and Social Welfare ministry is set to handover the...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
JF, Wakati huo sikuwa nafuatilia sana mambo ya siasa, lakini kuna kipindi nikapata kujua kwa juu JUU kuwa kuna Group moja ndani ya bunge lilikuwa linadai tanganyika yetu - hili lilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari tulizozipata muda mfupi ni kwamba maofisa sita wa Halmashauri ya wilaya Bagamoyo wametimuliwa kazi na WAZIRI MKUU Mh. Pinda leo hii kwa kosa la ubadhirifu wa mali ya umma, na kutojali kero...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Ukisoma hapa chini utaona kuwa serikali inakumbuka mchango wa PM wawili kati ya wote na hilo limewekwa wazi kwenye website ya serikali. Swali je? Warioba , Salim hawakuacha kitu cha kukumbukwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tatizo linakuja Serikali inapiokataa au kuona ina haki ya kutotimiza yanayotakiwa na wawakilishi wa wananchi, je hiyo serikali kweli ni ya wananchi au ya Mafisadi. Hii inafuatia tamko la serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka mwaka 2006 Tanzania imekuwa nchi ya kusikiliza habari za migongano ya kisiasa baina wabunge na viongozi kadhaa wanaopenda kutangazwa na vyombo vya habari. Wametokea watu ambao wana kiu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SHINIKIZO lililokuwa likitolewa na Chama cha Wananchi (CUF), kutaka Katiba ya Zanzibar ivunjwe ili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Amani Abeid Karume aongezewe muda wa kuongoza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Taarifa ya Maendeleo ya Kuchangia Wahanga Wa Mafuriko. Mtandao Wa Wanataaluma Tanzania (TPN) Kwa kushirikiana na www.issamichuzi.blogspot.com na www.jamiiforums.com na kampuni ya Push Mobile...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2010 CCM itashinda kwa sababu ya ujanja na pesa. Mawakala wa vyama vya upinzani njaa tupu, wagombea wa udiwani na ubunge wanaweza kujitoa au kufanya sabotage
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale waliobahatika kufika katika ofisi za balozi zetu katika nchi mbalimbali watakubaliana nami kwamba hali inasikitisha. Pamoja na uchache wa maafisa, uwezo wao kitaaluma pia ni wa kutilia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kumekuwa na fikra ndani ya tume ya uchaguzi kuwa kuna mpango wa kuongeza majimbo ya uchaguzi kwenye uchaguzi ujao. Hii inathibitisha kuwa ni jinsi gani watunga sera wanavyoona umuhimu wa kulinda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
- According to the dataz, Jumapili hii kutakua na kikao cha dharura cha CCM. Habari hizi tumezithibitisha toka kwa vigogo mbali mbali wa CC walio katika safari za mbali, ambao wamefahamishwa...
1 Reactions
244 Replies
28K Views
Jamani wakuu, yukwapi Mh Zitto Kabwe, sijamsikia muda kidogo humu ndani na nina hamu kweli ya kuzungumza nae suala la Nyumba mbili kwa bilioni mbili unusu
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…