Serikali ni ya wananchi, wabunge ni wawakilishi wa wananchi

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,384
4,042
Tatizo linakuja Serikali inapiokataa au kuona ina haki ya kutotimiza yanayotakiwa na wawakilishi wa wananchi, je hiyo serikali kweli ni ya wananchi au ya Mafisadi.
Hii inafuatia tamko la serikali kwamba Sio lazima serikali itekeleze maazimio ya Bunge.
 
Back
Top Bottom