Wadau kama mnavyojua Serikali yetu ndio imeshashindwa kuwachukulia hatua yeyote hawa wenye hatimiliki na nchi
Kwa kisingizio nchi itavurigika au haitatawalika ijapokuwa Mwalimu Aliwacha sheria...
Polisi Dar es Salaam leo wamemkamata mwandishi wa habari Moshi Lusonzo, ambaye alikuwa akipiga picha wakati wa operesheni ya polisi ya kukamata wafanyabiashara wanaoiba haki za wasanii katika...
UK should come clean on the radar suspects
Two weeks ago, we broke the news that, Sailesh Vithlani - the man who has been hiding out in Switzerland for years, to escape prosecution for brokering...
Professor Mayunga Nkunya is quoted in todays papers as stating that it is against the law for anyone to question the validity of other peoples' degrees. I hope that he has been misquoted, for it...
Na Joseph Sabinus
Tanzania Daima
KANISA Katoliki nchini limeibuka tena na kutoa waraka kwa waamini wake kuhusu namna bora ya kushiriki uchaguzi mkuu ujao na safari hii likitoa maswali mazito kwa...
kauli aliyo toa spika wa bunge ni za kisiasa zaidi kuliko kujali masilahi ya umma alikuwa wapi mwanzo wakati bunge linafunga mjadala wa Richmond? wakati yeye angepaswa kuruhusu mjadala uendelee...
Mwananchi Exuper Kachenje
18/2/2010
ASEMA MARIDHIANO HAYAONDOI IMANI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA UFISADI
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta amesema yupo tayari kwa hukumu yoyote itakayotolewa na...
Haya kwa wale ambao hatuifahamu ilani ya CHADEMA ya 2005 nimeona ni vema nikawaletea ilani hii ya Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge,Wawakilishi na Madiwani ili tuichambue, kuijadili na kuikosoa.
20th February 10
Tanzania will still need aid for next two decades - WB
Angel Navuri
A World Bank lead economist, Paulo Zacchia, has said Tanzania will still need financial assistance...
Takriba watu miatatu walihudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF uliofanyika juzi jmosi 13/2/2010.
Baada ya maelezo marefu na ya ufasaha kuhusu mwangalio...
RAIS Jakaya Kikwete amesema baada ya maridhiano kati ya Chama cha Wananchi (CUF) na Serikali ya Mapinduzı ya Zanzibar, hali ya kisiasa, itazidi kuwa nzuri visiwani humo.
Mbali na hilo...
(Kutoka Gazeti la Habari Leo 20/01/2010)
BENKI ya Dunia imeishauri Serikali ya Tanzania kupunguza matumizi ya ulipaji wa posho kwa maofisa wake kwani inatumia mabilioni ya fedha kulipana posho...
Village where people never smile
By Kiundu Waweru
The young men and women of Karinde hardly laugh. When you strike a conversation with them, they cover their mouths with their hands or simply...
KATIKA pekuapekua yangu, mwishoni mwa wiki, nilikutana na hotuba ya Rais mstaafu, Ben Mkapa aliyoitoa kwenye kikao cha Bunge la kwanza la vyama vingi, Novemba 30, 1995 kwenye ukumbi wa...
Wana JF,
Wiki iliyopita nilipata mtihani mgumu baada ya mgeni wangu ambaye namuheshimu sana alipoamua kunitupia suala ambalo sikulitarajia.Sijui yalimjia mawazo gani lakini wakati tunakaribia...
Staff wa idara hii wako so detached from the real world na nashangaa hakuna anayewamulika
Anyway by definition UFISADI ni pamoja na kuikosesha au kuchelewesha kwa makusudi serikali mapato au...
Tanzanian president sees bright future for relations with Turkey
2010-02-18
http://pambazuka.org/en/category/africa_china/62356
Speaking to Turkish journalists ahead of a four-day official...
Miaka mitano ya urais wa JK ndio hiyo inaelekea kuisha. Kuna kila dalili kuwa atapendekezwa na chama chake kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Na pengine akaendelea kuwa...
Wanaharakati watishia kuzuia uchaguzi 2010
Na Richard Makore; 17th February 2010
Mkurugenzi wa LHRC, Francis Kiwanga
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinatarajia kwenda...