Fake TUC Claim

Augustine Moshi

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2006
Messages
2,287
Likes
369
Points
180
Augustine Moshi

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2006
2,287 369 180
Professor Mayunga Nkunya is quoted in today’s papers as stating that it is against the law for anyone to question the validity of other peoples' degrees. I hope that he has been misquoted, for it would indeed be very sad if he were to espouse such a position.

It is not illegal to question the validity of anything. We even question the validity of the existence of God.

It is my understanding that Nkunya and his TUC are to work professionally to accredit colleges and ascertain qualifications. That does not include trying to say that they are the only people who are allowed to have an opinion about university qualifications.

I have read Msemakweli’s booklet. It stems from his concerns that fraudulent behaviour has mushroomed everywhere in our nation. The government cannot be trusted to flush all of it out. Courageous men and women like Msemakweli have to step out and name names.

If Nkunya is spoiling for a fight then he ought to take Msemakweli to court. He will only manage to embarrass himself.

If the TUC consists of people who think like this, then should we really take them seriously?
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
4,056
Likes
736
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
4,056 736 280
It is not illegal to question the validity of anything. We even question the validity of the existence of God.
But Mr. Moshi, (and proceedig from your above statement), would you really publish a so-called "booklet" in challenge of the existence of "Allah" in today's Tanzania? I think not. Last time I checked, "The Satanic Verses" was still on the banned list of publications in Tanzania.
 
Augustine Moshi

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2006
Messages
2,287
Likes
369
Points
180
Augustine Moshi

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2006
2,287 369 180
I wouldn't publish such a booklet, but it wouldn't be illegal to do so!
 
O

Ogah

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
6,232
Likes
91
Points
145
O

Ogah

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
6,232 91 145
Professor Mayunga Nkunya is quoted in today’s papers as stating that it is against the law for anyone to question the validity of other peoples' degrees. I hope that he has been misquoted, for it would indeed be very sad if he were to espouse such a position.

It is not illegal to question the validity of anything. We even question the validity of the existence of God.

It is my understanding that Nkunya and his TUC are to work professionally to accredit colleges and ascertain qualifications. That does not include trying to say that they are the only people who are allowed to have an opinion about university qualifications.

I have read Msemakweli’s booklet. It stems from his concerns that fraudulent behaviour has mushroomed everywhere in our nation. The government cannot be trusted to flush all of it out. Courageous men and women like Msemakweli have to step out and name names.

If Nkunya is spoiling for a fight then he ought to take Msemakweli to court. He will only manage to embarrass himself.

If the TUC consists of people who think like this, then should we really take them seriously?
...........hivi TUC walizitambua zile degree za akina Nchimbi et al?.............na Kama kauli hiyo imetoka TUC......inasikitisha sana kwa kweli...........
 
Mponjoli

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
667
Likes
15
Points
35
Mponjoli

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
667 15 35
TCU wanajipendekeza kwa wasomi uchwara wakijua kuwa ndiyo wanaowapa vyeo uchwara. Tutajipendekeza kwa wanasiasa mpaka lini? Watendaji,tendeni kazi zenu kwa kufuata sheria na weledi,acheni kufuata mambo ya wanasiasa kwani si wasafi.
 
R

Rafikikabisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
252
Likes
36
Points
45
R

Rafikikabisa

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
252 36 45
Nkunya alikuwa anaelezea kitu ambacho ungemwangalia vizuri usoni alikuwa hakiamini. Huwezi kuwa msimamia sheria halafu watu wakakwambia fulani amevunja sheria ukaa kimya, wakazidi kukupa ushauri halafu badala ya kuwapongeza waliokupa taharifa ili na wewe uzitumie kufanya uchunguzi wako unarudia kutuhumu waliokupa taarifa.

Kwa statement za Nkunya inaonekana hayuko Tayari kusimamia TCU. Ili jambo liko wazi yeye kwa data hizi angetakiwa kutoa msimamo maana kila kitu anacho.

Kuendelea na malumbano na MsemaKweli(Mtoa taharifa) ni sawa na kuwaeleza watanzania kwamba ujanja ujanja katika elimu unakubalika.

Inamaana Nkunya hajui kuwa baadhi ya wenye vyeti hivyo sasa hivi ni wanafunzi katika vyuo vya hapa nchini wakijaribu kujinusuru na kashfa hii?

Au nayeye anawasupport na wana baraka zake? Jifunzeni kusimamia sheria za nchi.
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Likes
114
Points
160
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 114 160
It is my understanding that Nkunya and his TUC are .....

If the TUC consists of people

Masahihisho kidogo mkuu,

Hiyo kitu inaitwa TCU [Tanzania Commission for Universities]
 
S

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2006
Messages
2,141
Likes
14
Points
135
S

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2006
2,141 14 135
Nkunya alikuwa anaelezea kitu ambacho ungemwangalia vizuri usoni alikuwa hakiamini. Huwezi kuwa msimamia sheria halafu watu wakakwambia fulani amevunja sheria ukaa kimya, wakazidi kukupa ushauri halafu badala ya kuwapongeza waliokupa taharifa ili na wewe uzitumie kufanya uchunguzi wako unarudia kutuhumu waliokupa taarifa.

Kwa statement za Nkunya inaonekana hayuko Tayari kusimamia TCU. Ili jambo liko wazi yeye kwa data hizi angetakiwa kutoa msimamo maana kila kitu anacho.

Kuendelea na malumbano na MsemaKweli(Mtoa taharifa) ni sawa na kuwaeleza watanzania kwamba ujanja ujanja katika elimu unakubalika.

Inamaana Nkunya hajui kuwa baadhi ya wenye vyeti hivyo sasa hivi ni wanafunzi katika vyuo vya hapa nchini wakijaribu kujinusuru na kashfa hii?

Au nayeye anawasupport na wana baraka zake? Jifunzeni kusimamia sheria za nchi.
Systems ina watu uozo kutoka juu..huko chini ndio usiseme kabisa...sasa eti huyu ndio anasimamia TCU...!!

Si afadhali angekaa kimya.
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
23
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 23 0
Systems ina watu uozo kutoka juu..huko chini ndio usiseme kabisa...sasa eti huyu ndio anasimamia TCU...!!

Si afadhali angekaa kimya.
Upande mwingine wa shilingi..Je inakuwaje mtunzi wa kitabu akachapisha bila kupata uthibitisho toka TCU kuhusu elimu za hao 'mafisadi wa elimu'?

Mwandishi makini huhakiki kila anachokiandika kwa kutafutia ushahidi wa kutosha na kutafuta ushauri kwa wadau mbalimbali kuhusu chapisho tarajiwa. Ndio maana kukawa reviewing as well as editing process.

I am wondering.
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Likes
114
Points
160
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 114 160
Upande mwingine wa shilingi..Je inakuwaje mtunzi wa kitabu akachapisha bila kupata uthibitisho toka TCU kuhusu elimu za hao 'mafisadi wa elimu'?

Mwandishi makini huhakiki kila anachokiandika kwa kutafutia ushahidi wa kutosha na kutafuta ushauri kwa wadau mbalimbali kuhusu chapisho tarajiwa. Ndio maana kukawa reviewing as well as editing process.

I am wondering.
Suala hili la ufisadi wa elimu limekuwa likitajwa mara nyingi sana, sio leo wala jana ni suala la muda mrefu na hao TCU wamekuwa kimya muda wote.

Kwahiyo alichofanya Msemakweli ni kuionyesha jamii pamoja na hao TCU kwamba kuna mahali mambo hayako vizuri na wao kama wadau wakuu wameshindwa kutimiza wajibu wao.

Ukumbuke tu kwamba kabla hajatoa hiko ki-booklet aliandikbarua kwenda vyombo mbalimbali ikiwepo bunge lakini hakuna lolote la maana lililofanyika zaidi ya kushuhudia juzi spika Sita akimsafisha Naibu waziri wa kilimo.
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
23
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 23 0
.....
Ukumbuke tu kwamba kabla hajatoa hiko ki-booklet aliandikbarua kwenda vyombo mbalimbali ikiwepo bunge lakini hakuna lolote la maana lililofanyika zaidi ya kushuhudia juzi spika Sita akimsafisha Naibu waziri wa kilimo.
Sikumbuki, aliwaandikia TCU?

Hilo chapisho nani kaliedit? Kama editor yupo, alishindwa kumuuliza mwandishi authenticity ya yaliyomo?

Msemakweli had a right idea, but the mishap he made was on the whole process of implementing his idea. He should have followed a proper procedure and principles za uandishi.
 
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,224
Likes
9
Points
135
N

Nanu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,224 9 135
Nkunya alikuwa anaelezea kitu ambacho ungemwangalia vizuri usoni alikuwa hakiamini. Huwezi kuwa msimamia sheria halafu watu wakakwambia fulani amevunja sheria ukaa kimya, wakazidi kukupa ushauri halafu badala ya kuwapongeza waliokupa taharifa ili na wewe uzitumie kufanya uchunguzi wako unarudia kutuhumu waliokupa taarifa.

Kwa statement za Nkunya inaonekana hayuko Tayari kusimamia TCU. Ili jambo liko wazi yeye kwa data hizi angetakiwa kutoa msimamo maana kila kitu anacho.

Kuendelea na malumbano na MsemaKweli(Mtoa taharifa) ni sawa na kuwaeleza watanzania kwamba ujanja ujanja katika elimu unakubalika.

Inamaana Nkunya hajui kuwa baadhi ya wenye vyeti hivyo sasa hivi ni wanafunzi katika vyuo vya hapa nchini wakijaribu kujinusuru na kashfa hii?

Au nayeye anawasupport na wana baraka zake? Jifunzeni kusimamia sheria za nchi.
It happened hata mimi nilisikia hiyo taarifa then I was astonished that what does he mean. I thought he would have said, we will go through all names mentioned in the booklet and many names he may get from the public and establish the authenticity of the alleged qualifications and take necessary actions. But it seems that he was finger pointing Msemakweli on that.....if the certificates will be found to be authentic ...the mentioned can then sue Msemakweli for defamation!
 
bona

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
3,794
Likes
183
Points
160
bona

bona

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
3,794 183 160
iyo ndio style ya wasomi wetu uchawara, na uzuri wake wanaotetea upumbavu ndio wanaopandishwa vyeo wale wanaokemea ndio wanapata misukosuko si tunajua kilichomkuta prof baregu, angalieni mkandala alivyopwea u VC, c kwa kile ki redet kinacxhofanya utafiti ulio bias pasipo kuangalia fact!
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,963
Likes
4,945
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,963 4,945 280
This Chemistry Professor ..Nkunya and his crew miss a point. We live in a global village. Nkunya might be the head of TCU with educational information within Tanzania but not beyond the boundaries of our country. Wewe kama unasema kwamba un degree ya Pacific University, kuna kosa gani kama muhusika kaenda any accreditation body ya US kuulizia authenticity ya hiyo degree? Hivi jamani kwa nini watu watuone kwamba bado tunaishi enzi za ujima? This Nkunya man..yaani anachefua..yaani unashindwa kuelewa kwamba information siku hizi zipo online bure? Ama kweli this dude is simply ignorant.

Kwa wale mliozea vya short cut-be warned! Siku hizi ukisema umesoma chuo gani..hata Google..watatoa jibu. Infact kwa mtu yeyote mwenye haja ya kujua elimu ya mtu..hana haja ya kwenda TCU. He will simply go to to the website ya chuo husika..na kama hakuna..ataandika barua sehemu husika na atapewa majibu.

Kazi ya Nkunya na Commission yake ni kuregulate education ya TANZANIA siyo kutwambia kwamba hatuna haki ya kuhoji uhalali wa degree ya mtu. As long as you are paid from public coffers using your education as justification, we have a right to know (and at times question!)..where you got that education! Hizi "diploma mills" ndo zinatuletea mediocre people! in the name of professors and doctors. Unless utwambie kwamba..Tanzania we got no standards za education. Kwamba "university" inaweza isitambuliwe..nchi husika..ikatambuliwa TANZANIA..after all we are Africans..meant for mediocre things..so they say.

Kuhusu huyo Msemakweli, I dont know much about him. But hata kama kaandika "booklet" sioni taabu yoyote na hilo. Hivi kama kweli umekamata nondo yako chuo makini, kwanini uwe na wasiwasi? If I wrote my PhD say...Cambridge..Do you really think Msemakweli ataninyima usingizi na "booklet yake"? The answer is No! Ofcourse Nchimbi`s and co. lazima waogope..maana jamaa anaraise some valid questions. TATIZO ni kwamba tunaishi ulimwengu ambao information imekuwa rahisi mno kupatikana. na viongozi wetu they havent come to grip with this. The sooner the better.

Kama Nchimbi ana degree from a credible university, kwa nini amuogope Msemakweli? Tanzania yetu jamani..kweli ina vituko!
 
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Messages
2,976
Likes
230
Points
160
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2008
2,976 230 160
Sikumbuki, aliwaandikia TCU?

Hilo chapisho nani kaliedit? Kama editor yupo, alishindwa kumuuliza mwandishi authenticity ya yaliyomo?

Msemakweli had a right idea, but the mishap he made was on the whole process of implementing his idea. He should have followed a proper procedure and principles za uandishi.
Juzi Msemakweli wakati anaongea na waandishi wa habari alionyesha barua kutoka TCU iliyomuonyesha kwamba vyeti vyuo vya akina nchimbi na wenzake havitambuliki.

Mkuu jaribu kuwa unasoma magazeti yote usisome uhuru na mzalendo tu.
 
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Messages
2,976
Likes
230
Points
160
M

Magezi

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2008
2,976 230 160
Sikumbuki, aliwaandikia TCU?

Hilo chapisho nani kaliedit? Kama editor yupo, alishindwa kumuuliza mwandishi authenticity ya yaliyomo?

Msemakweli had a right idea, but the mishap he made was on the whole process of implementing his idea. He should have followed a proper procedure and principles za uandishi.
Kutoa kitabu ni hatua ya kwanza na kupeleka kwa editors ni hatua ya pili na toleo huwa linabadirika.

Wewe vipi mzee umenyweshwa maji ya kijani nini??
 
S

samvande2002

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Messages
414
Likes
12
Points
35
S

samvande2002

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2009
414 12 35
Mpaka hapo ameshahakiki, ahakiki mara ngapi tena?
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,239
Likes
334
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,239 334 180
Sikumbuki, aliwaandikia TCU?

Hilo chapisho nani kaliedit? Kama editor yupo, alishindwa kumuuliza mwandishi authenticity ya yaliyomo?

Msemakweli had a right idea, but the mishap he made was on the whole process of implementing his idea. He should have followed a proper procedure and principles za uandishi.
NA pia mwandishi hakusema hata vyuo hivyo fake vinavyotoa hizo digrii fake. next edition atueleze hata hizo fake digrii hawa jamaa wamezitoa wapi?

About TCU kwa kweli I think they dont know what they are supposed to do, hawana tofauti na EWURA na hata SUMATRA ambao hawajui hata sheria za barabarani na wameamua kukasimu kazi zao Majembe.

too shame.
 
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
2,274
Likes
13
Points
0
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
2,274 13 0
Sikumbuki, aliwaandikia TCU?

Hilo chapisho nani kaliedit? Kama editor yupo, alishindwa kumuuliza mwandishi authenticity ya yaliyomo?

Msemakweli had a right idea, but the mishap he made was on the whole process of implementing his idea. He should have followed a proper procedure and principles za uandishi.
What are the proper procedures and principles za uandishi kumbe tatizo lako ni uandishi na wala si content ya kitabu kuedit si kazi ya TCU hadi waulizwe afterall kama kuhusishwa walihusishwa hadi correspondence zipo alichofanya Msemakweli pamoja na kuwaumbua wenye elimu fake pia ameonyesha kuwa hao TCU ni useless nimeanza ku question hata legitimacy ya TCU
 
Forum statistics

Threads 1,250,965
Members 481,523
Posts 29,752,766