Kuna habari kuwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU inafanya uchunguzi juu ya tuhuma za Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo wa Isimani mkoani Iringa...
RAIS Jakaya Kikwete wiki hii amefanya uteuzi wa mabalozi kwenye key stations ambazo kuna diplomats wa Tanzania abroad. Mimi ninavyoona, this was a missed opportunity kwa Rais kufanya maamuzi...
Rwanda arrests football head on way to World Cup
Brig-Gen Jean Bosco Kazura (Photo from Ferwafa - ferwafa.rw/fed) Jean Bosco Kazura served in Sudan's Darfur region
The head of Rwanda's...
Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ( kushoto)akiikagua kadi ya CCM ya Mwanachama , Mzee Athuman Mohamed Dume ( kulia) wa CCM Tawi la Fulwe, Kata ya Mikese, Wilaya ya...
Huu kama mwaka wa uchaguzi ningependa kupata maoni yako juu ya kitu kimoja ambacho ungependa serikali ya awamu ya tano ikipe kipaumbele. Jaribu kuwaza kama umepata nafasi ya kukaa na Wagombea...
Wednesday, 23 June 2010
By The Citizen Reporter
President Jakaya Kikwete has made new ambassadorial appointments with senior Foreign Affairs and International Co-operation ministry official...
Tunapoelekea uchaguzi mkuu tunawatahadharisha wagombea wote jimbo la Hai kwamba hatuitaji kirusi chochote kile cha CCM katika jimbo letu.Hawamu hii tunataka Halmashauri iongozwe na wapinzani.
Wakuu kuna jambo linanitatiza na huwa linagonga sana kichwa changu; Naomba kujua wajibu wa viongozi wanaochaguliwa na wananchi hususan wale wanaochaguliwa kwa njia ya kura (Rais, Wabunge...
Wana JF nina swali linaloniumiza kichwa sana hapa...hii mnafahamu ni nani aliyeanzisha ideas hizi 2
1) Rais kuchangiwa kuchukua fomu
2) Kutangaza nia ya kugombea mwaka 2010
Rais kuchangiwa fedha...
Jamani naomba kuwasilisha,
KWA KUWA, makala hii imeandikwa na Kibanda, ambaye ametajwa kuwa karibu na Lowassa,
NA KWA KUWA, amesema kwamba Lowassa alikuwa mbuzi wa kafara,
NA KWA KUWA, yuko...
Ikiwa watakaokuja ni CCM au wengine katika utawala wa kuiongoza Tanzania naamini kabisa kuwa TANZANIA WILL NEVER BE THE SAME AGAIN,hii ni kutokana na uamsho ambao unajengeka kwa wananchi dhidi ya...
That for the majority of Africans LIVING is an endemic a misery and that no outlet seems to be insight save for faith and hope in the favours of the ALMIGHTY. Failed leadership and failed states...
IWC meeting abuzz over Japan vote-buying accusations
Wednesday 23rd June, 07:58 AM JST
AGADIR, Morocco Accusations that Japan uses aid money and personal favors to buy votes have quietly...
Elections in Tanzania
What's the hurry?
The president is trying, without much luck, to gee things up
THE World Bank now ranks Tanzania a lacklustre 131st in the world, dropping steadily...
Waziri wa East Africa,mwenye Phd fake yuko Uk kuonana na WaTz.
atakuwa 18/06 London,19/06 Reading na 20/06 Manchester.
Kama wewe Mtz mpiga box huko una nafasi nenda ukamwone huyu Mheshimiwa...
Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Bw. Shamsi Vuai Nahodha akiwa Bungeni na mkewe
Waandishi Wetu, Zanzibar na Dar
IDADI kubwa ya makada wa CCM waliojitokeza kuwania...
VITA vya kuwania ubunge Jimbo la Same Mashariki vimechukua sura mpya baada ya mbunge wa jimbo hilo, Anne Kilango-Malecela kudai mpinzani wake anataka kumaliza maisha yake na uzao wake.
Kilango...
Makamu wa Rais Dk Ali Mohammed Shein ambaye jina lake linatajwa kuwa ni miongoni mwa wagombea wa urais Zanzibar
Salma Said, Zanzibar na Boniface Meena
MAKAMU wa Rais, Dk Ali Mohammed Shein...
Kwa kifupi, someni yanayowakera wenzetu wa Nigeria:
Rebellion over Nigeria's expensive politicians
By FUNKE ADETUTU in Lagos
June 22 2010 at 11:54
In different corners of Nigeria, most of...