Tanzania will never be the same again | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania will never be the same again

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jun 23, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ikiwa watakaokuja ni CCM au wengine katika utawala wa kuiongoza Tanzania naamini kabisa kuwa TANZANIA WILL NEVER BE THE SAME AGAIN,hii ni kutokana na uamsho ambao unajengeka kwa wananchi dhidi ya utawala uliopo madarakani na vyombo vyake.

  Misukumo inayoikumba serikali ya CCM kwa mida ya hivi karibuni inanipa muangaza kuwa twendako itakuwa vigumu zaidi kwa viongozi kufanya mambo yanayokwenda kinyume na taratibu zilizopangwa au kuwekwa ,kwa ufupi itakuwa mti na macho kwa kila aliekabidhiwa madaraka katika serikali.

  Naweza kukubali kuwa hapa tulipo tupo katika kipindi cha mpito kwa maana ya waliopo madarakani bado wana kiza cha macho na wapo nusunusu kuwa lolote laweza kuwafika ,ila kwa vile ni viongozi wenye kujulikana litakalowafika linaweza kuzimuliwa na kupotezwa katika thin air.

  Hata hivyo ile dhana ya TANZANIA WILL NEVER BE THE SAME AGAIN inanifanya nione kuwa viongozi wanaokuja watakuwa na nguvu ya kuweza kufanya maamuzi bila ya kumjali huyu yule ni nani.

  Je ndugu Mtanzania mwenzangu unasemaje au unapimaje hali tuliyonayo kwa wakati ujao ?
   
 2. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  .... jaribu UJIFUNZE KUCHEZA MDUNDIKO. Might be a useful tool against future hardship!
   
 3. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpelekee hii post katibu mkuu wa chama chako, nadhani yupo Dodoma manake na yeye ni mteule wa Rais pale mjengoni
   
Loading...