Mwanafalsafa,
I agree with u.
IMO Africa misses stern and bold leadership. I could compare the scenario with computer analogue, Africa is like a hardware , well-functioning but its operating system is infected by a serious virus. This virus has caused a catastrophe in every aspect of the machine.
Kutokana na mifumo ya uongozi legelege, tuna miss most of the basic ingredients ambazo hazikwepeki kama kweli tunahitaji kuendelea(prerequisites). Mojawapo ni self-checking. I know under the influence of foreign interference and/or poor & pathetic leadership, it is difficult to have meaningful self-checking system. If we don't have the right people to lead us, assess the situation and know exactly were is our destiny, everything else is as good as useless. If u can't think for urself, we will never succeed in anything. Tutabaki tu kuwa kama tumekwama kwenye jahazi katikati baharini kwene kiza kinene huku kukiwa hakuna compass, nyota, jua wala mwezi kutuonesha uelekeo wa kuchukua.
Tukiongelea kisayari kwa ujumla, if we consider the fact that we can NOT remove the influences of globalization and market economy, mi nadhani serikali yetu ingeacha kufuata mkumbo na kuamua model yake yenyewe ya kufuata. Hatuhitaji kuendelea kufanya fallacy ya kufanya kitu kilekile siku zote huku hatuoni matokeo mazuri, lakini twaendelea tu kufanya. This has to STOP.
Kwa haraka naweza kufikiria yafuatayo:
1. Kubadili mifumo ya utawala, once and for all.
Ile enzi ya kupiga siasa ilishapita. Siasa isipewe nafasi tena, enzi ya sasa ni enzi ya kuongoza watu kisayansi na kuongozwa na reason. Habari za makundi ya kisiasa inatakiwa itoweshwe. People from all of the current parties, civil groups, all walks of life should come together and reason on how to put in place a transparent system (government) in which at least a chunk of us will feel is ours. Enzi za ubinafsi, kuganga njaa, spins na manipulations, personal glory etc etc zimeshapita. U can imagine time and space which is being lost kwa kufanya spins kwene media, ingetumika ktk useful way, watu wengi zaidi wangekuwa knowledgeable. etc etc.
2. Sera
Mashirika na Makampuni ya Umma
Sera za kusema kwamba serikali isijishughulishe na kutoa huduma ni hoja muflisi. Taifa letu ni maskini na hii ina maana asilimia ya watu wenye kipato duni ni kubwa sana. Sasa ktk hali kama hii sekta binafsi ni lazima iwe legelege, na hali inakuwa mbaya zaidi kufuatia kufunguliwa milango ya sekta binafsi hii dhaifu kupata competition kutoka nje ya nchi, bila uidhibiti wowote wa maana au wenye maono. Njia bora ilikuwa kwa serikali kuwa mfano wa kuendesha mashirika, na baadaye mashirika yale ingeyaweka ktk soko la hisa ili kwa kiasi fulani waTz wafaidike kwa kuwa wamiliki. Kipindi cha miaka michache hapa awali akina mzee Simba walijaribu kuraise mtaji kwa ajili ya kununua mashirika yaliokuwa yakiuzwa.Sijui progress yao ilifikia wapi, lakini at least walionesha njia kwamba huwezi tukaendelea kama taifa ikiwa uchumi unashikwa na wageni. It is disastrous.
Uwekezaji
Sera kuhusu uwekezaji inahitaji kufanyiwa serious revision and overhaul.Principle ya kwanza ambayo nadhani ingeifanya ni kuacha hizi sera za SHARING OF OUR RESOURCES. I think the gvt should have stopped this madness long time ago.
Yes, tunahitaji KUWA SELFISH KWANZA na kujifikiria sisi kama taifa kwanza. Tusitegemee kwamba kuna mgeni atasimamia maslahi yetu. Hiyo haipo. Mathalan, hakuna sababu ya msingi ya kuita kampuni ya kigeni ije ichimbe mathalan madini, halafu eti mgawane faida. Huo ni ujinga ulipitiliza. Binafsi at personal level nina kauzoefu na similar scenario. Utafungua biashara halafu unamwachia mfanyakazi asimamie ati wewe unazunguka huko mjini unaendelea na shughuli nyingine ukitegemea huyu awe mkweli..ukweli ni kwamba atakuibia tu, haiwezekani mtu anajua kwa 100% habari yote ya biashara halafu utegemee mtagawana faida ktk uwiano wenye manufaa, hiyo haiwezekani. The same kwene hao wawekazaji wa kigeni.
Tunahitaji kujifikiria SISI KWANZA na VIZAZI VYETU, halafu then ndio waje wengine.
Manufacturing and Use of Technology
Kwene hoja ya uwekezaji, nimesema tuwe SELFISH, hii ni pamoja na KUZUIA kusafirisha nje wa malighafi na maliasili ambazo hazijaongezewa thamani. Unapouza mathalan kawaha ghafi kumbuka pia unauza na nafasi za ajira kadhaa, pia unadumaza uwezekano wa kuja kutumia technology. Kuwa SELFISH ni pamoja kuzuia IMPORTS zote za bidhaa ambazo zinaweza kuzalishwa nchini au kuzipiga penati ya kodi kwa bidhaa za nje ili kulinda bidhaa za ndani. Bila kufanya hivo tutaendelea kuwa na sekta binafsi dhaifu milele.
Small and medium scales entrepreneurship
Kuzuia malighafi kusafirishwa bila kuongezwa thamani itaongeza nafasi za ajira, pia itafanya manufactoring kukua pamoja na matumizi ya mbinu mpya za sayansi na technology. Pia ukidhibiti vyema rasilimali zako, na kuingia kwene mikataba yenye akili ni nafasi nzuri ya kutoa ajira kwa watu wetu. Ukifanya kinyume serikali itajipa kazi ya ku-enforce mambo ya vibali vya kazi na kufuatilia watu wakati ingewezekana kiurahisi zaidi kumiliki hizo fursa za uwekezaji yenyewe au kwa kufacilitate wazalendo wawe wamiliki.