Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Shadow, Jun 23, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ( kushoto)akiikagua kadi ya CCM ya Mwanachama , Mzee Athuman Mohamed Dume ( kulia) wa CCM Tawi la Fulwe, Kata ya Mikese, Wilaya ya Morogoro kabla ya kukubaliwa kudhamini fomu ya mgombea wa kuomba kuteuliwa na CCM katika nafasi ya Urais wa Tanzania kwa miaka mitano , Rais Jakaya Kiwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, zoezi hilo lilifanyika Juni 22, mwaka huu.
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jamani tuwe tunaweka 'titles' zinazoendana na post sasa vijana 30 wasomi na huyo babu wapi na wapi tafadhalini.
   
 3. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Wako wapi hao vijana?
   
 4. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  So funny
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Mmemuona Babu tuuuu.........huyo binti? Sijui mtoto wa marehemu Kaka Dito?
   
 6. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tulitee majina mengine.........Mkuu
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  yanakuja taratibu
   
 8. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  1. Ridhiwan Jakaya Kikwete
  2. Mariam Ukiwaona Ditopile wa Mzuzuri
  3.........................................................
  4.........................................................
  tuendelee.....
   
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  1. Ridhiwani Kikwete (qualifications)
  2. Miriam Ditopile (qualifications)

  Sio majina tu na qualifications zao pia tunaomba kaka.
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hii ndio naiita mkakati mbadala, baada ya kuona hakubaliki na wafanyakazi, wanasiasa, na middle class mkulu kaamua kauibuka na shikamoo Jazz, wazee ( kumbuka mkutano wake Diamond Jubilee kuhusu Tucta) na Yosso ( Dodoma maandamano ya kumuunga mkono na mkakati wa kukusanya sahihi za wadhamini).
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  3. Benno Malisa
  4. Bashe
  5. Makata
  6. V Mzindakaya
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Vijana 30?
  Wonderful!

  Ridhiwan - First Degree at UDSM

  Miriam Dito - ??
   
 13. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Alexander Nchimbi - Katibu wa Kamati ya Kusajili wadhamini Kanda ya Mashariki
   
 14. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utafuniwe na umezewe...! jishughulishe baba...!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shughuli kama hizi Shyrose Bhanji hawezi kosekana!
   
 16. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amir Madega
  Rajabu Katunzi

  Wote ni wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM, mkuu shadow weka list hii kwenye thread ya mwanzo mpaka tupate majina yao yote..!
   
 17. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Post inazungumzia vijana 30 wasomi wanaomtumikia JK, umeleta majina mawili wamesoma nini tena unaniambia nitafute. Mfano Ridhiwani amekua akiitwa msomi kwa muda amesoma nini hoo haaa sijui hee. Leo sijui ana wadhifa gani sijui UVCCM, kesho mmbunge mara waziri kwanini atuendelei ni upuuzi kama huu kuwaita ma dunce wasomi wakija pewa senstive post wana boronga kama baba zao.

  So far naona majina ya privileged kids no qualifications no achievements za mchango wowote. Kabla ujamwita mtu msomi jua mchango wange kwanza katika usomi wake vinginevyo sema ana elimu, awe hata na Phd.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  I agree.

  The starting post IS SENSELESS
   
 19. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Una hoja nzuri ila suala la "wasomi" limeripotiwa sana na magazeti kwahiyo muanzisha thread alitaka tupate majina ya hao wanaoitwa "wasomi" halafu ndio tuone usomi wao. Ila hatua ya kwanza ni kuwatambua kwanza , labda tumshauri muanzisha thread aweke quotation mark kwenye neno wasomi kuashiria kwamba ndivyo wanavyoitwa ila sio opinion yake.
   
 20. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  thats whats up!
   
Loading...