Diodorus KAMALA yuko UK ziarani

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
Waziri wa East Africa,mwenye Phd fake yuko Uk kuonana na WaTz.
atakuwa 18/06 London,19/06 Reading na 20/06 Manchester.

Kama wewe Mtz mpiga box huko una nafasi nenda ukamwone huyu Mheshimiwa akila per diem yake vizuri
 
Wasipoteze muda wa kubeba box kwenda kumuona kilaza huyu. Hana jipya zaidi ya majivuno tu.
 
Sioni sababu ya kupoteza muda kwenda kumwona ili iweje? serekali ya TZ imeshindwa kuwaandaa wananchi kuingia kwenye hii jumuiya, na kwa mtizamo wangu watafaidika wale wajanja, wanasiasa kama Kamala, na wenye nguvu za ushawishi mwananchi wakawaida hakuna manufaa yeyote,,

Mlio UK msipoteze muda wenu kwenda kumwona huyu jamaa hana lolote, pesa anazotumia zingetumika hata kununulia madawati ya wanafunzi wanaokaa chini
 
Politik mchezo wa ajabu mtoto wa mkulima ameona kumtuma Kihiyo Kamala kutasaidia kueleweka hila za EAC ? wataenda wauza sura labda!
 
hivi mkuu umeona watu ambao wako ulaya wanabeba tu mabox au
Hapana mkuu. Nilifundishwa shule kujibu examiner alichouliza. Soma post ya kwanza uone inasemaje mkuu.
Najua wengine wako huko na ni mawaziri, mawaziri wakuu na wakurugenzi wa wizara, na wengine wanafanya kazi zingine kama utarishi, security guard, watchmen, ma nurse, madaktari na hata ma barmaid.
Yawezekana wewe uko kwenye kundi hili.
:sorry::peace:
 
Du! si nilisikia mawaziri wamezuiwa kusafiri nje ya nchi ili waende mikoani kuelezea mafanikio ya serikali yetu. Huyu jamaa imekuwaje anakaidi agizo la ikulu?
- mi nilidhani waziri wa Afrika mashariki safari zake za kikazi itakuwa ni ndani ya East Africa region? Sasa EA na London wapi na wapi bwana? Au Membe yuko likizo?
 
Politik mchezo wa ajabu mtoto wa mkulima ameona kumtuma Kihiyo Kamala kutasaidia kueleweka hila za EAC ? wataenda wauza sura labda!

Masanilo kwa dharau anaongoza. Wengine wote vihiyo, msomi ni yeye tu na kundi lake.

Masanilo, hivi Tanzania umewahi kugundua nini?
 
Kamala huyu ndiye ameshindwa kuwakilisha masalahi ya nchi katika kwenye hiyo Afrika ya Msahariki. Nadhani kile kitendo cha kujulikana kuwa ana digrii ya kununua kinamkosesha confidence ya kuongea mbele ya wenzake akijificha kuogopa asionekana kuwa hajui kitu.
 
Prof. Kichuguu,

Kamala alifanya kosa kubwa sana kukimbilia Ph.D ya kwenye mtandao wakati ana vyeti vyake vya maana tu.

Naona kwenye website ya bunge ameondoa hiyo Ph.D.

Kamala ana masters degree mbili alizopata UK toka vyuo vya maana kabisa Lincoln University na Hamberside university. Hiyo ni elimu tosha kwa nafasi yake ya uwaziri.

Sijui walirogwa nini huko Mzumbe mpaka wakaona kuitwa Dr. ni deal kubwa?
 
Masanilo kwa dharau anaongoza. Wengine wote vihiyo, msomi ni yeye tu na kundi lake.

Masanilo, hivi Tanzania umewahi kugundua nini?

Ndugu Muheza, siyo lazima uwe na gari bomba kusema kuwa jamaa fulani kanunua mkweche. Ndo maana Dr Remmy aliwahi kuandika kwenye mkweche wake kuwa, "ETI IMECHAKAA, BABA YAKO ANAYO?". Kwa hiyo usianze kumzuia ndugu Masa kuongea eti kwa sababu hajagundua. Vinginevyo wote itabidi tunyamaze. Wapo watu hapa wanamsema vibaya Kamala kwamba kashindwa kuongoza wizara, ila ni kwa sababu yeye amejaribu na ndiyo maana tunaweza kutoa maoni kama kashindwa au kaweza. Je, tusiongee hadi tuwe Wakuu wa mikoa, mawaziri n.k; au wote tugundue mwezi mwingine? Kuna watu humu hawajawahi kuongoza hata kundi la watoto au kufanya jambo la maana kwenye jamii. Je hao nao wanyamaze?
 
Siku moja nilipokuwa mtoto, jamaa yangu akasema gari la Remmy lile, nikaliangalia na kuanza kucheka. Ghafla nikaona hicho kibao cha unacheka, babako analo? Ikabidi ninyamaze hapo hapo maana kweli bababgu hata baiskeli alikuwa hana.

Sizuii wengine kutoa comments lakini kama kila siku ni kuita watu wengine vihiyo nayo sio nzuri kabisa. Unajua kila siku kama ni kuchekana tu, kweli tutaanza hata kujiskia kwamba hatuwezi.
 
Muheza,i didnt know you can be this positive,una mpango ama unagombea ubunge?
Unachosema ni kweli,hatahivyo vihiyo ni lazima wadharauliwe....Kama unaujuwa uchungu wa kuipata one.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom