Wajibu wa viongozi wanaochaguliwa na wananchi

taffu69

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,094
538
Wakuu kuna jambo linanitatiza na huwa linagonga sana kichwa changu; Naomba kujua wajibu wa viongozi wanaochaguliwa na wananchi hususan wale wanaochaguliwa kwa njia ya kura (Rais, Wabunge, Madiwani) wanatakiwa kutekeleza na pindi wanaposhindwa ni njia gani zifaazo na za haraka zinatakiwa kuchukuliwa ili kuwaondoa na kuepusha mambo kwenda mrama/kuharibika zaidi.

 
Back
Top Bottom