Ni kitu gani ungependa kuona kinapewa kiapumbele 2010-2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kitu gani ungependa kuona kinapewa kiapumbele 2010-2015?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chapakazi, Jun 22, 2010.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huu kama mwaka wa uchaguzi ningependa kupata maoni yako juu ya kitu kimoja ambacho ungependa serikali ya awamu ya tano ikipe kipaumbele. Jaribu kuwaza kama umepata nafasi ya kukaa na Wagombea Urais na kuwapa dokodoko zako. Ni kitu gani cha kwanza utawaomba wafanye? Na sio kwa jimbo lako, bali kwa manufaa ya Tanzania nzima. Au niigeuze kivingine, kama wewe unapewa nafasi ya kuwa rais wa awamu ya tano, je ni kitu gani KIMOJA ungependa kukumbukwa kwa kufanya? Ningependa kupata maoni yenu kwa kusudi la kujua muelekeo na matumaini yetu. Niwie radhi, maana hii inaangalia serikali in a very narrow perspective.

  Mimi binafsi ningesema viwanda. Ningependa tuwe industrial powerhouse hapa East and Central Africa, hasa ukizingatia huu muungano na muelekeo wake. Hivyo ni muhimu awamu ya tano iweke msingi mzuri wa kuwezesha hili. Wewe je?
   
 2. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Macro-economic stability which has been lost. Inflation! Corruption Infrastructure and Financial Services reforms, legal reforms..
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mi ningepeta tu Muungwana asiwe rais kipindi hicho.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Good...shukran mkuu! Ungesema Inflation as the number one thing?
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mh...je wewe ukipewa urais...ni nini ungependa kukumbukwa nacho?
   
 6. GY

  GY JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mi ningependa nikumbukwe kama Mtanzania aliyekataa kuwa Raisi wa nchi
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ningependa mtu mzima Edo awe raisi ili alipize kisasi.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  :dance:Ningependa Uongozi wa CCM usiwepo madarakani wawepo watu tofauti wenye uchungu na nchi hii,...Ningependa viwanda vyote vilivyokufa vifufuliwe ,vijana wapate ajira ,uchumi wa nchi ustawi.
  Ndoto za alinacha
   
 9. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,882
  Likes Received: 20,953
  Trophy Points: 280
  RUSHWA IKOMESHWE.huwezi kupata maendeleo na CORRUPT GOVERNMENT/SOCIETY.......
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ningependa kama hiki chama tawala chenu kikirudi madarakani basi kiendelee kuharibu ili wananchi ambao hawajauona ubovu na uozo uliomo chamani basi wafumbuliwe macho na mioyo yao ili wakichukie na twenty fifteen wakipige chini. Pia kama watarudi madarakani ningependa ufisadi uzidi, rushwa iwe juu, umasikini uongezeke na gap kati ya wenye nacho na wasonacho iwe kubwa, mishahara ya wanasiasa na posho ziongezeke, na mishahara ya wafanya kazi ibaki pale pale au ipungue na mfumko wa bei upae kama Zimbabwe, sera ya kilimo kwanza iendelee ili wasolima wazidi kufaidi kwa semina na Nights. GNP na GDP virudi nyuma ila tusiwe na mapigano. Hii yote itasaidia wananchi walofumba macho na masikio waweze kuona uozo wa chama cha mafisahi HENCE come twenty fifteen wakipige chini kama KANU ya Kenya!
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Get rid of politics..thats the best solution EVER.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,904
  Trophy Points: 280
  Kuifuta CCM katika anga za siasa za nchi yetu maana wao ndiyo chanzo cha matatizo mengi ya Tanzania.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  washkaji...this is not a wish list ya kukiondoa CCM! Wewe ungekuwa rais (hata kupitia CCM), je ungekipa kitu gani kipaumbele? Mkulu amezipa safari kipaumbele, je wewe? Labda kweli hizo safari tutaona matunda yake maana sasa ivi tuna mkonga...au sio?
   
Loading...