Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gazeti la rai katika toleo lake la leo limeendelea kuandika habari zinazomhusisha mgombea wa chadema katika nafasi ya urais (dk slaa) na maaskofu. Eti sasa wanadai wabunge waislamu wa chadema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dk Slaa: Wana CCM niungeni mkono nimng'oe Kikwete Send to a friend Tuesday, 27 July 2010 22:50 0diggsdigg Dk Slaa Mussa Juma, Karatu MGOMBEA urais wa Chadema Dk Wilbroad Slaa, amezidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu, gazeti hili nilipata kulijua zaidi ya miaka 10 iliyopita; likiwa na uadilifu na weledi wa hali ya juu kiasi cha kufanya mmiliki wake kutangazwa kuwa si raia wa nchi hii kisheria. lakini...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Bado nakumbuka yaliyotokea kwa jirani zetu Kenya ambako tamko la aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Bwana Samuel Kiviutu, lilivyoweza kuigeuza nchi jirani, Kenya, kuwa uwanja wa mapambano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitudumaza - Mtikila na Ratifa Baranyikwa Tanzania Daima Jumapili, 3 Februari 2008 Hivi karibuni Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, lengo la thread hii ni kuonyesha kuwa pamoja na kuwa wengi wetu tunaunga mkono mabadiliko, tena wengi ni watu wenye uzalendo 'kiasi' na kuipenda nchi yetu, bado kuna mambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wanabodi, Nijuavyo mimi, kampeni rasmi za Urais na Ubunge, zitaanza rasmi Tarehe 20 mwezi ujao. Katika pita pita yangu huku na kule, nimetua mjini Dodoma na kushuhudia mji mzima wa Dodoma...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mtunzi wa kitabu hiki maridhawa si mwingine bali ni mchambuzi na mwandishi mahiri wa makala,Mwalimu Nkwazi Nkuzi Mhango,Mtanzania mwenye makazi yake nchini Kanada.Licha ya ualimu na uandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia leo tumepata taarifa za kuvamiwa eneo ambalo alikuwa akiishi Said Kubenea wa MwanaHalisi huku waliofanya uvamizi wakiwalazimisha vijana wa eneo hilo kusema alipo Kubenea. Taarifa...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
ningekuwa mimi Kikwete ningejitoa nisigombee urais kwa vile ninayegombea naye naelewa ananizidi kwa kila idara, ni ukweli unaouma.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Dr. Willibrod Slaa and Rashid Hamadi [Christian & Islam-Fair State] 2. Jakaya Kikwete and Dr. Mohamed Bilal [Both are Islam-Islamic State]
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mada hii inahusu uhusiano kati ya Sataranji na Siasa. Sataranji ni mchezo ambao hutumia fikra nyingi na mipango mingi tarajali kumshinda mpinzani. Katika mchezo huu, ambao vinara wake walikuwa ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mgombea Urais kipitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kesho ataunguruma Nyumbani kwake Karatu. Dr Slaa anakwenda kukutana na wanakaratu aliowatumikia kwa kipindi cha miaka kumi...
0 Reactions
136 Replies
17K Views
any comments please...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
It is public knowledge that President Jakaya Kikwete has personal friendships with different people from all walks of life. In fact, he likes to portray himself as the people's president -- ever...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CHADEMA wameteua, Dakta slaa ulingoni, CCM kuwatungua, kuwatoa mjengoni, Uteuzi ulotulia, kama maji mtungini Watani wamepagawa, sasa wanatapatapa Slaa chaguo poa, tutakavyo kutimia, Hakuna wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vikao vya siri vinaonyesha ya kuwa jk amepanga kumchagua slaa kuwa waziri wa nishati na madini iwapo atashinda uchaguzi wake ujao, je na yeye dr slaa akishinda uchaguzi huu ataweza kumchagua jk...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…