Kama JK anaipenda TZ, Amuunge mkono Dr. Slaa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama JK anaipenda TZ, Amuunge mkono Dr. Slaa..

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Moseley, Jul 28, 2010.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya watanzania, amuunge mkono Dr. Slaa ili aingie Ikulu, atakuwa ametimiza wajibu wake wa kulipenda taifa kwa dhati...

  Nawasilisha..
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  u r joking right?
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hakika kila mtanzania mwenye nia njema na nchi(waziri mkuu,rais...)anatakiwa kumuunga mkono slaa ili aoneshe mfano kwa miaka mitano ijayo
   
 4. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu unaota
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,886
  Trophy Points: 280
  Sheikh tuu ndio anaweza? mawazo mgando kabisa!
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu haya siyo mawazo mgando tu, ni mfu kabisa!
   
 7. d

  dady2007 Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakweli vichaa bado mpo wengi!
   
 8. R

  Ramos JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ya. Hii ina-sound kama ya kutumwa na Rostam kweli, mwenzio Malaria sugu sometimes anaongeza vyakwake. Mwambie atapoteza ajira! na ajira ilivyo shida hapa Tz kwa sasa...
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Unainama, Unachutama, Unainuka .... Unaona haya huyo
   
 10. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  usichanganye vitu, kwenye ulimwengu wa politics hayo unayoyadhania (ndoto) hayapo.
   
Loading...