Elections 2010 CUF na CHADEMA waungane

Status
Not open for further replies.

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Rashid) awe ni mgombea mwenza. Nafkiri kuna haja ya Lipumba kuamua kujitoa katika nafasi anayotaka kugombea. Kuna haja gani ya kugombea ili hali anajua kabisa anasindikiza tu? Ni mawazo tu, tunaweza kujadili hapa, pengine hoja zetu zitamfanya Lipumba atangaze kujitoa na kumuunga mkono Dr Slaa.
 
Kama sikosei, CHADEMA waliunga mkono mgombea wa CUF mwaka 1995 na 2000. Sina hakika so I stand to be corrected
 
Hiyo imekaa vizuri, kwa hiyo si vibaya kama CUF nao wakiamua kuwa waungwana mwaka huu na kuwaunga mkono CHADEMA. Wakipewa support ya kutosha, CHADEMA kupitia Dr. Slaa wanaweza kubali hali ya kisiasa nchini.
 
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Rashid) awe ni mgombea mwenza. Nafkiri kuna haja ya Lipumba kuamua kujitoa katika nafasi anayotaka kugombea. Kuna haja gani ya kugombea ili hali anajua kabisa anasindikiza tu? Ni mawazo tu, tunaweza kujadili hapa, pengine hoja zetu zitamfanya Lipumba atangaze kujitoa na kumuunga mkono Dr Slaa.

can you explain why NOT the other way round??
 
can you explain why NOT the other way round??

Though there are several reasons; I will only give one and I believe there are many others who are going to list the rest.
1. Lipumba is not the choice of Tanzanians, he has tried the post three times from 1995 this will be the fourth time, without success. What does he think can change this year, that was not possible to change in all the other years he contested? By the way, people are already used to him and at present they (including me) regard Lipumba as a funny guy who doesn't know how to synthesize and analyze things before he make a decision.
2 ..............................
3 .............................
 
Nadhani haya ni maoni yako binafsi naomba usiwajumuishe na wengine....mapenzi yako kwa Dr. Slaa hayapaswi kukufanya uache kuwa'analyse wagombea wengine.
 
Kama sikosei, CHADEMA waliunga mkono mgombea wa CUF mwaka 1995 na 2000. Sina hakika so I stand to be corrected

CHADEMA waliunga mkono NCCR mwaka 1995, mwaka 2000 waliunga mkono CUF, hivyo ni busara mwaka huu CUF wakainga mkono CHADEMA.
 
CHADEMA na CUF waunde kamati za viongozi wa juu kujadiliana kwa muda maalumu, tuwape kama wiki 2 hivi kuhusu swala la kuunganisha nguvu katika kugombea urais na wabunge. Swala la nani awe mgombea tuiachie kamati hiyo. Ila kwa mawazo yangu tu na upepo wa uchaguzi unavyoonekana Dr. Slaa na Rashid would be a formidable ticket... So, Wakati ni huu, let Chadema approach CUF and not just wait with open doors!
 
Naunga mkono hoja;petition tu cuf ilazimishwe na lipumba alazimishwe Kuachia kugombea tena madaraka na Hamad alazimishwe kuwa mgombea mwenza wa DR SLAA sio wao waamue hovyo hovyo
 
can you explain why NOT the other way round??

it is time for change kila siku Lipumba na Seif
lipumba ajifunze kwa mbowe, Lipumba should do the honourable thing and vie for Ubunge
Hivi vyama vikishirikiana vitakuwa na nguvu zaidi kulikoni chama kimoja kimoja
 
Nakubaliana na wewe lakini kwa Seif nipo tofauti.
Seif ni chaguo la waZanzibar ila mizengwe, wizi wa kura na ubabe wa CCM ndio unamkosesha ushindi.
 
Nadhani haya ni maoni yako binafsi naomba usiwajumuishe na wengine....mapenzi yako kwa Dr. Slaa hayapaswi kukufanya uache kuwa'analyse wagombea wengine.

Ni kweli ni maoni yangu lakini naamini yanabeba ujumbe wa watanzania walio wengi. Kama watanzania wangekuwa wameridhika naye wangemchagua! Sasa kama hawamchagui wanampa ujumbe gani? Sasa yeye huo ujumbe huwa haumfikii tu au ni vile tu hapendi kuanalyze mambo kabla ya kufanya maamuzi.
 
sio lazima kuungana ila cuf wanaweza tu kujitoa kwani hakuna haja ya wao kugombea urais labda kule visiwani......................kumbuka cuf ni chama cha kidini mno kwa hiyo hawawezi kuchanganywa hawa kwani wao wanafikiria kitu kimojas tu wakishika dola yaani....oic na mahakama ya kadhi..........
wacha wafe peke yao tuachieni chadema yetu ikiongozwa na mkuu sana DR.SLAA...Nami mimefurahishwa sana na uteuzi huu wa chadema
 
kweli kabisa, nadhani hamadi rashid atafaa pale, Dr slaa chuma kilie, CCM wanahaha sasa
 
It's not that simple ndugu zangu kwa sababu naamini kura za mgombea wa urais wa chama ndizo zinatumika kukokotoa idadi ya wagombea wa viti maalum kwa chama husika. Kwa uelewa wangu chama kitakachokuwa na mgombea ndicho kitahesabiwa kuwa kimepata kura hizo na wale waliowaunga mkono hawatapata kitu. Kwa mzingira hayo, realistically tunaona chama gani kati ya vilivyotajwa kiko tayari kwa sacrifice kubwa kiasi hicho?
 
CHADEMA na CUF waunde kamati za viongozi wa juu kujadiliana kwa muda maalumu, tuwape kama wiki 2 hivi kuhusu swala la kuunganisha nguvu katika kugombea urais na wabunge. Swala la nani awe mgombea tuiachie kamati hiyo. Ila kwa mawazo yangu tu na upepo wa uchaguzi unavyoonekana Dr. Slaa na Rashid would be a formidable ticket... So, Wakati ni huu, let Chadema approach CUF and not just wait with open doors!

View attachment 11917 :violin: View attachment 11916
 
Kama Kuungana vilitakiwa kufanya kabla kila chama hakijaweka Mgombea....Kitendo cha kila chama kuweka Mgombea wake maana vimeona havina Haja ya kuungana ktk level ya Wagombea Urais....may be Ubunge.

As long as kuna kutuhumiana kwa kila chama either ktk level ya Viongozi na Level ya Wananchi au washabiki, suala la Muungano wa aina yoyote haliwezi kukubalika ktk level hizo 2 za kila chama.

Chadema waliwaunga Mkono 2000 CUF si kwakuwa walikuwa wanajenga upinzani, ila hawakuwa na Mgombea....thus Why 2005 waliamua kuweka Mgombea wao. Hivyo hakuna Logic ya CUF kuwaachia chadema as wao tayari wana mgombea wao.
 
Hamna mtu anampenda Lipumba labda wazee wa itikadi kali
...Hivi Ndugu yangu una sababu gani za Kumchukia Prof.Lipumba?...sasa kama Mtu humpendi unaweza kuungana nae?...na hata ukiungana nae yatakuwa si Mapenzi ya dhati...!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom