Kinyang'anyiro cha ubunge huku mikoani na takukuru tatizo sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinyang'anyiro cha ubunge huku mikoani na takukuru tatizo sana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Jul 13, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Nilipita mikoani katika safari yangu na kwali niliyo yaona ni mengi sana esp. ktk kinyang'anyiro cha Ubunge kweli kuna makubwa sana mfano mtu yuko mwanza anataka agombee udiwani mwanza hapo nyamagana alafu anataka akagombee ubunge Mara mjini hii inamaaanisha nini mbaya zaidi yeye anamwaga pesa tuu haji jimbo na takukuru wana jua hilo na huku fika taaarifa zimeisha fika kwa Hosea sasa hatujui kama zisha fika CCM makao makuu au laa kwa wale wasio na pesa za kushinda na hwatowa pesa kubwa basi itakuwa ni kuto watendea wagombea wengine haki. na tatizo kubwa ni je wakina nani ndio wakwamishaji wa haya ni je wakatibu wa kata wilaya ktk vitongoji au nini maana hao ni lazima tuu pesa iwafikie tu.

  Ivi Takukuru action yao inachukluliwa lini baada ya mgombea kupigiwa kura na wanachama wake au? kwanini asimwagwe mtu wa namna hii mapema hata kabra hajachukua fomu au kupigiwa kura maana kama Takukuru ilisha chukua ushahidi yanu nin huyu mtu awe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge??
   
Loading...